Na Brighiter Masaki

Kanda

Sheria kulinda taarifa binafsi za kimtandao yaiva

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema mchakato wa kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi…

Soma Zaidi »
Kanda

Ajali yajeruhi tisa Arusha

WATU tisa wamejiruhiwa mkoani Arusha baada ya kutokea ajali iliyohusisha magari matatu. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP, Justine…

Soma Zaidi »
Kanda

Waagizwa kukamilisha miradi ya maji Sep.30

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba, ameagiza kukamilishwa na kuanza kutoa huduma ya maji, miradi yote inayotekelezwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Kikwete: Usalama wa nchi unaletwa na uhusiano mzuri

RAIS mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema uhakika wa usalama wa nchi unatokana na uhusiano mzuri na nchi…

Soma Zaidi »
Biashara

RC Mara apongeza wachimbaji madini

WATANZANIA 387 wameungana na kuendesha mgodi wa uchimbaji mdogo wa dhahabu wa Isaranilo, Buhemba, mkoani Mara na sasa wamejijengea soko…

Soma Zaidi »
Kanda

Wanawake 1200 wanufaika elimu ya malaria

WANAWAKE wanaonyonyesha na wajawazito zaidi ya 1200, wamenufaika na elimu ya maambukizi ya ugonjwa wa malaria pamoja na Uviko-19, iliyotolewa…

Soma Zaidi »
Kanda

Ajali ya Hiace yaua wawili, yajeruhi Handeni

WATU wawili wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, baada ya gari aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

JWTZ wapongezwa kukuza michezo

WAZIRI wa Sanaa, Utamaduni na Michezo, Mohamed Mchengerwa  amelipongeza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kwa jitihada zake…

Soma Zaidi »
Dini

Wageni 2000 kushiriki Ijitimai Katavi

WAUMINI wa dini ya Kiislam kutoka mataifa mbalimbali, wameanza kuwasili mkoani Katavi katika ibada ya siku 3 ya Ijitimai ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Mkandarasi awekwa ndani ujenzi wa shule Karagwe

MKANDARASI wa shule mpya ya sekondari ya wasichana ya Kagera River, amekamatwa kutokana na kusuasua kwa ujenzi. Hatua ya kukamatwa…

Soma Zaidi »
Back to top button