Festo Polea

Kimataifa

Waziri Mkuu wa Chad ajiuzulu baada ya mshindi wa kura kuthibitishwa

N’Djamena, CHAD: WAZIRI Mkuu wa Chad Succes Masra ametangaza kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumatano leo, ikiwa wiki kadhaa zimepita…

Soma Zaidi »
Madini

Mabadiliko Sheria ya Madini yawabeba Watanzania

ARUSHA: MABADILIKO ya Sheria ya Madini ya mwaka 2010 yametoa fursa kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini na kuhakikisha Watanzania wananufaika…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kiongozi Mkuu wa Iran aongoza ibada mazishi ya Rais wa Iran

Tehran, IRAN: KIONGOZI Mkuu wa Iran Ayatollah Ali Khamenei ameongoza sala katika hafla ya kumbukumbu ya marehemu Rais wa Iran…

Soma Zaidi »
Infographics

Kroos kwenye usahihi wa nyakati, vitendo

MADRID, HISPANIA: Usahihi ni Nini? Ni hali ambayo matokeo ya vipimo ama hesabu hupatikana na thamani sahihi kwa kiwango halisi.…

Soma Zaidi »
Madini

Waishukuru Serikali mazingira mazuri ya uwekezaji

ARUSHA: KAMPUNI ya Uchimbaji wa Dhahabu ya Geita (GGML) imeishukuru Serikali kwa kutoa mazingira mazuri ya uwekezaji. Akizungumza leo Mei…

Soma Zaidi »
Biashara

Wafanya jambo kunogesha Euro

DAR ES SALAAM: Wakati fainali za Mataifa ya Ulaya ‘Euro 2024’, zikitarajia kuanza mwezi ujao, kampuni za Tigo, Parimatch, na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Majaliwa atoa maagizo kwa Mamlaka Sekta ya Habari

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka mamlaka zinazohusika na usimamizi wa sekta ya habari ziendelee kusimamia vyombo vya habari lakini pia…

Soma Zaidi »
Sanaa

Wasanii washindwe wenyewe tu!

DAR ES SALAAM: Filamu zaidi ya 120 za wasanii wa Tanzania zimenunuliwa na chanel mpya ya St Swahili Plus chini…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy: Acheni matumizi holela ya dawa

TANGA: Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameitaka jamii kuacha matumizi holela ya dawa za antibiotik ili kuepuka usugu wa vimelea…

Soma Zaidi »
Jamii

Serikali yajenga daraja Ruhembe

MOROGORO: WANANCHI wa Kata za Ruhembe, Kidodi, Uwembe, Vidunda, Mikumi na Kilolo waliokuwa wakiteseka kwa muda mrefu kusafiri umbali mrefu…

Soma Zaidi »
Back to top button