Na Veronica Mheta, Arusha

Tanzania

Arusha watakiwa kulipa wenyeviti wa mitaa posho zao

ARUSHA; Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amemwagiza Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Juma Hamsini kuwalipa posho zao wanazodai…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbaroni akidaiwa kuua watoto mapacha

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Roda Peter (30) mkazi wa Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma ya kuua…

Soma Zaidi »
Infographics

Adaiwa kuiba mtoto wa mama mwenye matatizo afya ya akili

MOROGORO; JESHI la Polisi mkoa wa Morogoro linamshikilia Glory Barnabas (23) mkulima na mkazi wa Kata ya Tungi, Manispaa ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mvua yaleta balaa Bukoba

KAGERA; Bukoba; Mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha alfajiri ya leo Oktoba 18, 2023, imesababisha madhara katika maeneo mbalimbali…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Mwenye ulemavu wa macho aja kivingine kwenye teknolojia

DSM; KIJANA Malick Hamis (24) mwenye ulemavu wa macho amebuni mfumo wa kupakua sauti kwa kutumia kompyuta na kuziunganisha, jambo…

Soma Zaidi »
Utalii

Mabalozi Norway, Uswisi kushuhudia tamasha Mtwara

MTWARA: MABALOZI wa Norway na Uswisi nchini Tanzania, wanatarajiwa kuhudhuria tamasha la ngome za asili za makabila yanayoishi mkoani Mtwara.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia anogesha ujenzi vyuo vya Veta

TABORA: VYUO 64 vya Ufundi Stadi (VETA) vitajengwa nchi nzima, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mipango ya serikali kujenga…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

‘Tehama sasa ni ya kujenga uchumi jumuishi’

DSM; Mkurugenzi wa Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), Dk. Nkudwe Mwasaga amesema Tehama ya sasa hivi ni…

Soma Zaidi »
Tanzania

TRA yataka ulipaji kodi kwa wakati

DSM; MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeziagiza taasisi za umma zenye madeni ya kodi kuhakikisha zinalipa ndani ya muda uliowekwa.…

Soma Zaidi »
Fursa

FAO yaunga mkono mikakati ya kilimo

ITALIA: Rome. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO), limeahidi kuunga mkono…

Soma Zaidi »
Back to top button