Rahimu Fadhili

Jamii

Mjane kukabidhiwa nyumba kesho Chanika

DAR ES SALAAM; MWANAHARAKATI wa masuala ya kijamii, Godlisten Malisa amesema kesho watakabidhi rasmi nyumba ya mjane Judith Ruhumbika iliyojengwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Atoa Sh elfu tano kumpongeza Rais Samia

MLELE, KATAVI; Aseni Jandikile mkazi wa Kijiji cha Luchima  Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ametoa Sh elfu tano kwa Rais…

Soma Zaidi »
Afya

Awamu ya pili, Madaktari bingwa wawasili Katavi

KATAVI: Awamu ya pili ya timu ya Madaktari bingwa 17 kutoka New York nchini Marekani wamewasili leo mkoani Katavi kwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Taarifa mpya Kimbunga ‘Hidaya’

DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa Kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu…

Soma Zaidi »
Tanzania

DART wapata tiba foleni, vituo vya mwendokasi

DAR ES SALAAM: MTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), Dk Athumani Kihamia amesema jumla ya mageti janja…

Soma Zaidi »
Jamii

JKT na mkakati kupunguza Uhaba wa mafuta ya kula

KIGOMA: MKUU wa Tawi la Utawala wa jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena amesema Jeshi hilo linaendelea…

Soma Zaidi »
Jamii

Mustafa Mkulo afariki dunia

TANZIA: Waziri wa zamani wa Fedha, Mustafa Mkulo amefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa ya familia, inasema Mkulo ambae aliwahi…

Soma Zaidi »
Jamii

Wafungwa 44 kufanya mtihani wa darasa la nne

MOROGORO:  VIJANA 44 ambao ni wafungwa katika Gereza la Wami Vijana mkoani Morogoro wanatarajiwa kufanya mtihani wa Taifa wa darasa…

Soma Zaidi »
Jamii

DPP: Sabaya sasa yupo huru

ARUSHA: MKURUGENZI wa Mashtaka Nchini (DPP), ameondoa Rufaa yake katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha dhidi ya kesi ya uhujumu uchumi…

Soma Zaidi »
Afya

Utalii matibabu, wagonjwa Sierra Leone kutibiwa JKCI

DAR ES SALAAM: Wagonjwa wa Moyo kutoka nchi ya Sierra Leone watakuja kutibiwa hapa nchini hii ikiwa ni matunda ya…

Soma Zaidi »
Back to top button