Shununa Haji

Jamii

Watuhumiwa zaidi ya 300 mbaroni kwa uhalifu

MBEYA:  Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa 324 kwa tuhuma za kujihusisha na magenge ya uhalifu ikiwemo mauaji,…

Soma Zaidi »
Jamii

TANGAUWASA yakusanya Sh bilioni 54.7 mauzo hatifungani

TANGA: Mamlaka yetu ya Maji Tanga (TANGAUWASA) imefanikisha mauzo ya asilimia 103 ya Hatifungani ya Kijani ya miundombinu ya maji…

Soma Zaidi »
Jamii

Elimu Watoto njiti yaingizwa mtaala mpya wa elimu

DAR ES SALAAM: Elimu ya Watoto Njiti imeingizwa kwenye mtaala mpya wa elimu na sasa litaanza kufundishwa katika shule za…

Soma Zaidi »
Jamii

Serikali yazindua miradi huduma za ukunga

DAR ES SALAAM: SERIKALI imezindua miradi wa kuimarisha huduma za ukunga kwa mikoa ya Dar es Salaam na Shinyanga unaolenga…

Soma Zaidi »
Jamii

Polisi Dodoma wajivunia oparesheni zao

DODOMA;Kamishna Msaidizi wa Mamlaka ya kudhibiti Dawa za kulevya Kanda ya Kati Mzee Kasuwi  leo Mei 03, 2024 amekabidhi silaha…

Soma Zaidi »
Jamii

Nape: Uhuru wa vyombo vya habari nchini umeimarika

DODOMA: Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema hali ya uhuru wa vyombo vya habari nchini…

Soma Zaidi »
Jamii

Rahisisheni kazi ya Wanahabari- Majaliwa

DODOMA: WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wa Serikali waondoe ukiritimba kwenye suala la upatikanaji wa habari ili…

Soma Zaidi »
Infographics

Bilioni 10.9 zatumika masomo udaktari bingwa

DAR ES SALAAM: Jumla ya Sh bilioni 10.9 zimetengwa ili kuwawezesha wanafunzi 1,109 kwenye masomo ya ubingwa na ubingwa bobezi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Walter Harison: Pacome yupo kamiligado

DAR ES SALAAM: MENEJA wa Klabu ya Yanga, Walter Harson amesema kiungo wa timu hiyo, Pacome Zouzoua yupo tayari kutumika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Hakuna ofa rasmi mchezaji yoyote Yanga – Walter Harson

DAR ES SALAAM: MPAKA sasa hakuna ofa rasmi kutoka klabu yoyote Afrika inayohusisha usajili wa mchezaji yoyote wa klabu ya…

Soma Zaidi »
Back to top button