Derick Milton

Jamii

Maafisa tarafa, watendaji wa kata watakiwa kutenda haki

BARIADI: Serikali imewataka maafisa tarafa na watendaji wa kata katika Mkoa wa Simiyu kufuata misingi ya haki katika utekelezaji wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga Princess kulipa kisasi Kariakoo dabi?

DAR ES SALAAM: Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea leo ambapo Yanga Princess itawaalika vinara wa ligi hiyo Simba Queens mchezo…

Soma Zaidi »
Jamii

Mvua za El-Nino zasababisha vifo 155

DODOMA: WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema zaidi ya Kaya 51,000 na watu 200,000 waliathirika na Mvua kubwa za El-nino zilizoambatana…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Nipo tayari kuvaa viatu vya Bocco- Waziri Jr

DODOMA: Mshambuliaji wa KMC Waziri Junior amesema yupo tayari kuvaa viatu vya mshambuliaji mkongwe John Bocco na kufanya yale aliyokuwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Rama Ngozi: Aelezea njia kujikinga na wizi mitandaoni

KATIKA ulimwengu wa kisasa unaotegemea zaidi mitandao ya kijamii, suala la usalama wa akaunti zetu limekuwa muhimu zaidi kuliko wakati…

Soma Zaidi »
Afya

Ummy: Kufanya mazoezi na mimi Ruksa!

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kama kuna Mtanzania anataka kushiriki mazoezi na Waziri wa Afya yuko…

Soma Zaidi »
Sanaa

Serekali kujenga Makumbusho ya Mwami Ntare

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dk Damas Ndumbaro amesema Serikali kwa kushirikiana na Wizara ya Maliasili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mechi nne hakuna ushindi Simba

SINGIDA: Baada ya mchezo wa leo kumalizika kwa sare Simba sasa wamecheza michezo minne bila kupata ushindi. Simba walipoteza bao…

Soma Zaidi »
Infographics

Wakandarasi waliofanya vizuri watunukiwa

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya ukandarasi ya Steg International Services, imekuwa mshindi wa kwanza katika tuzo za mwaka 2024 zilizotolewa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia amteua Said Yakub kuwa Balozi Comoro

ZANZIBAR: RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukuwa nafasi…

Soma Zaidi »
Back to top button