Na Maulid Ahmed, Arusha

Sayansi & Teknolojia

Teknolojia ni suluhisho la kuboresha ufundishaji, upatikanaji wa elimu nchini

ARUSHA: TUNAISHI katika dunia ambayo kwa kiasi kikubwa imetawaliwa na matumizi ya teknolojia za kidigitali. Athari za teknolojia zinaweza kuonekana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wawili mbaroni kwa ubakaji

BUKOBA, Kagera: WANAUME wawili wanatarajiwa kufikishwa mahakamani na jeshi la polisi mkoani Kagera ili kujibu tuhuma zinazowakabili za matukio ya…

Soma Zaidi »
Jamii

Bunduki za kivita zanaswa kwenye msako

KIGOMA: POLISI mkoani Kigoma imefanikiwa kukamata jumla ya bunduki 16 aina mbalimbali zikihusishwa kutumika kwenye matukio ya uhalifu mkoani humo…

Soma Zaidi »
Siasa

Nchimbi Katibu Mkuu CCM, Rais ampongeza

BALOZI Dk Emanuel Nchimbi ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), akichukua mikoba ya Daniel Chongolo. Kwa mujibu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Simba wamnasa mshambuliaji kutoka Gambia

MTANDAO: SIMBA SC imetangaza kukamilisha uhamisho wa mshambuliaji, Pa Omar Jobe (25) kwa kandarasi ya miaka miwili. Taarifa hiyo imechapishwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga yatemana na Moloko

MTANDAO: YANGA SC imetangaza kuachana na kiungo wa pembeni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia Congo (DRC), Jesus Moloko kwa makubaliano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais atoa pole vifo vya wachimbaji Bariadi

BARIADI, Simiyu: RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kwa wachimbaji mkoani Simiyu kufuatia vifo vya zaidi ya wachimbaji…

Soma Zaidi »
Afya

Chalamila: Usafi ufanyike kila wiki

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila awewaagiza watendaji wote wa serikali zoezi la kufanya…

Soma Zaidi »
Jamii

Asilimia 65.6 kidato cha kwanza hawajaripoti

KAGERA : JUMLA ya wanafunzi 21,267 sawa na asilimia 34.4 ya waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024 wameanza…

Soma Zaidi »
Siasa

Nani kumrithi Chongolo?

UNGUJA, Zanzibar: MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiongoza…

Soma Zaidi »
Back to top button