Na Shinuna Haji

Michezo na Burudani

Chama, Kapama yamewakuta Simba

DAR ES SALAAM: Uongozi wa Klabu ya Simba umetangaza kuwasimamisha wachezaji Nassor Kapama na Clatous Chama kutokana na utovu wa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Taa za Barabara ya Bibi Titi zawaibua watumiaji

DAR ES SALAAM: WATUMIAJI wa Barabara iliyopo katika makutano ya Barabara ya Bibi Titi na Maktaba wameipongeza @habarileo_tz kwa kupelekea…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wawili wapoteza maisha wakidhaniwa kula chakula chenye sumu

MWANZA: KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbrod Mutafungwa amesema kuwa watu wawili wa familia mbili tofauti wamepoteza maisha wakidhaniwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Hakuna miili zaidi iliyopatikana Hanang”

HANANG, Manyara: SERIKALI hakuna miili zaidi iliyopatikana na hivyo idadi ya miili inabakia kuwa 89 (Watu wazima 50: wanaume 21…

Soma Zaidi »
Urithi

“fanyeni tafiti za masuala ya malezi na maadili”

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amevitaka vyuo vinavyotoa elimu kuhusu masuala ya Ustawi wa Jamii nchini vifanye mapitio…

Soma Zaidi »
Uchumi

Bashe aahidi neema kwa wakulima nchini

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania imetoa wito kwa wawekezaji wa ndani katika sekta ya kilimo kutumia teknolojia za kisasa…

Soma Zaidi »
Fedha

BOT kuwakwamua waathirika mikopo umiza, kausha damu

DAR ES SALAAM: BENKI Kuu  ya Tanzania (BOT) imezindua rasmi mtaala wa wakufunzi wa elimu ya fedha nje ya mfumo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ajali ya pikipiki yaua wawili Mtwara

MTWARA: WATU wawili wamekufa baada ya pikipiki waliyokuwa wakisafiria kuacha njia na kuanguka.   Akitoa taarifa hiyo leo kwa waandishi…

Soma Zaidi »
Biashara

Chalamila: TRA toeni elimu kwa mlipa kodi

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufanya oparesheni…

Soma Zaidi »
Africa

Umuhimu Mfuko wa Upotevu, Hasara  Afrika kukabili uharibifu wa mazingira

NOVEMBA 30, 2023 Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) ulianza Dubai, Umoja wa Falme za…

Soma Zaidi »
Back to top button