Mwandishi Wetu, Bukoba

Diplomasia

Tanzania, Uganda zasaini uimarishaji mpaka wa kimataifa

TANZANIA na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamefikiwa mwisho…

Soma Zaidi »
Featured

‘Majogoo’ kung’ang’ania kileleni EPL leo?

MICHEZO ya soka ya Ligi tano bora barani Ulaya inaendelea leo kwa mitanange kadhaa kwenye viwanja tofauti. Katika Ligi Kuu…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Rais Samia adhamiria kuunganisha Kiswahili, Kihispaniola

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameeleza dhamira yake ya  kuunganisha lugha ya Kiswahili na lugha ya Kihispaniola ambayo ni lugha…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Dk Biteko ashiriki uapisho wa Rais Duma Boko

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko leo Novemba 8 amemwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika…

Soma Zaidi »
Featured

Dk Mpango kumwakilisha Rais Samia mkutano COP29

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango anatarajia kuondoka leo Novemba 08 kuelekea Baku, Azerbaijan, kumwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan,…

Soma Zaidi »
Featured

Tanzania yang’ara miradi ya Kinywe

RIPOTI ya Benki ya Dunia na Takwimu za Taasisi ya Jiolojia ya Marekani kuhusu makisio ya utajiri wa mashapo ya…

Soma Zaidi »
Bunge

‘Viongozi watimize majukumu yao’

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewaomba viongozi wa kuteuliwa na kuchaguliwa kutimiza majukumu yao kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »
Bunge

Mradi EBARR wafikia asilimia 95 Zanzibar

NAIBU Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema Mradi wa Kuhimili Mabadiliko ya Tabianchi…

Soma Zaidi »
Featured

Bil 19/- kusambaza umeme vitongojini Tabora

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza mradi wa Shilingi Bilioni 19 wa kusambaza umeme katika vitongoji 180 utakaonufaisha kaya 5,940…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Mwinyi afungua Ofisi ya wakala wa ZIPA China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua rasmi ofisi ya wakala wa Mamlaka…

Soma Zaidi »
Back to top button