Na Mwandishi wetu

Kimataifa

Gavi kununua dozi laki tano za mpox

GENEVA: SHIRIKA la ufadhili duniani Gavi limepanga kununua chanjo dozi 500,000 za Mpox kutoka kampuni ya Bavarian Nordic kwa ajili…

Soma Zaidi »
Infographics

Dkt Mwinyi akutana ujumbe Oman Zanzibar

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza alipokutana na Ujumbe wa watendaji kutoka…

Soma Zaidi »
Infographics

Rais Samia akutana na Sophie Rhys

Soma Zaidi »
Zanzibar

Utekelezaji wa miradi uzingatie wakati

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema miradi ya kimkakati inayoendeshwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Majaribio ya makombora yaanza

KOREA KASKAZINI : ZOEZI la kufanya majaribio ya  kurusha makombora limeanza nchini Korea Kaskazini baada  ya kuzindua kiwanda cha kurutubisha…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Saba mbaroni Venezuela

VENEZUELA : WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Venezuela, Diosdado Cabello amesema wamewakamata raia saba wa kigeni  kwa tuhuma za…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Watu Tisa wapoteza maisha Lebanon

LEBANON : WATU wasiopungua tisa wameuawa na maelfu kujeruhiwa baada ya mamia ya vifaa vya mawasiliano ulipuka nchini Lebanon. Waziri…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Kambi ya usalama yashambuliwa Mali

MALI : Kambi ya Usalama huko Bamako katika mji mkuu nchini Mali imeshambuliwa. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa kwa vyombo…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Marekani kuondoa wanajeshi Niger

NIGER : SERIKALI ya Marekani imetangaza kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger kwa awamu. Uamuzi huu umekuja baada ya Serikali ya…

Soma Zaidi »
Afya

Usugu wa dawa kumaliza watu

ULAYA : Utafiti unaonyesha zaidi ya watu milioni 39 wanaweza kupoteza maisha kutokana na usugu wa dawa za antibayotiki zinazotibu…

Soma Zaidi »
Back to top button