Sijawa Omary, Mtwara

Tanzania

Serikali yakaribisha wawekezaji kongani ya viwanda Maranje

NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dk. Hussein Mohamed ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuendelea kuhamasisha wawekezaji kuwekeza…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Msaada wa kisheria muhimu kwa wanyonge- Maswi

MBEYA: WATAALAM wa Utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayojulikana kama” Mama Samia Legal Aid (MSLAC) mkoani Mbeya wametakiwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chongolo ataka madeni ya wazabuni yalipwe Songwe

MKUU wa Mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo ameziagiza halmashauri za wilaya mkoani humo kuhakikisha zinalipa madeni ya wazabuni na watumishi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Majaliwa aagiza matrekta yatunzwe

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameshuhudia makabidhiano ya matrekta matano kati ya Wizara ya Kilimo na Halmashauriya Wilaya ya Ruangwa. Makabidhiano…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia kuanza ziara Tanga leo

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian amesema, Rais Samia ataanza ziara katika eneo la Mkata wilayani Handeni. Dk…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Z’bar yazindua hatifungani ya Kiislamu ya kwanza EAC

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imezindua hatifungani inayozingatia misingi ya sheria ya Kiislamu inayoitwa Zanzibar Sukuk. Hatifungani hiyo ni…

Soma Zaidi »
Utalii

Watafiti Cuba wafanya ziara Serengeti

ZIARA ya kikazi ya watafiti wa mimea vamizi kutoka Jamhuri ya Cuba walioungana na wataalamu wa ikolojia kutoka Wizara ya…

Soma Zaidi »
Siasa

Wanachama TLP wapinga uongozi, msajili atoa siku 7

MSAJILI wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi ameupa siku saba uongozi wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kutoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

barawa atoa maagizo ATCL kukuza biashara

WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameliagiza Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) lihakikishe safari za ndege za shirika hilo zinafanyika…

Soma Zaidi »
Infographics

Nchi zinazozalisha kahawa zakubaliana mambo manne

NCHI 25 zinazozalisha kahawa Afrika zimekubaliana kushirikiana kufanya tafiti na kuongeza thamani ya zao hilo ili kupata mavuno bora na…

Soma Zaidi »
Back to top button