Na Diana Deus, Karagwe

Infographics

Watu saba wafa ajali ya gari Karagwe

Watu saba wamekufa na wengine tisa kujeruhiwa baada ya lori kugonga magari mawili ya abiria katika eneo la Kihanga Beria …

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Nishati ya umeme jua kupunguza hewa ukaa sekta ya uvuvi

TAASISI ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), imeanza kufanya utafiti utakaozuia au kuepusha wachakataji wa mazao ya uvuvi ikiwemo dagaa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wadau waendelea kutoa elimu ukatili wa kijinsia

WADAU mbalimbali wanaofanya shughuli za kupinga ukatili wa kijinsia mkoani Mtwara wamesema, wanaendelea kutoa elimu kwa jamii na kupunguza kasi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Afya ya udongo iwe kipaumbele kwa maendeleo endelevu

Shirika la kimataifa linaloshughulikia uhifadhi wa mazingira na maendeleo endelevu (IUCN) kwa kushirikiana na Mpango wa Kuendeleza Kilimo Ukanda wa…

Soma Zaidi »
Utalii

TFS watakiwa kuimarisha misitu kuvutia watalii

WAKALA wa Misitu Tanzania (TFS) wametakiwa kuimarisha utalii wa misitu Ikolojia kwa kuvilinda na kuviendeleza vivutio hivyo ili kuendelea kuvutia…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Jumuiya ya wahasibu iwe mifumo usimamizi fedha”

JUMUIYA ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika  wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha…

Soma Zaidi »
Infographics

Rais Samia ataka mifumo bora usimamizi fedha

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wahasibu wakuu wa nchi za Afrika kujenga  imani ya wananchi katika mifumo ya usimamizi wa…

Soma Zaidi »
Utalii

Chana akabidhi malori, mitambo kuboresha uhifadhi

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amekabidhi malori matano na mitambo mitano mitano yenye thamani ya Sh…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbio za Mtembezi kuvutia washiriki 500 Iringa

KATIKA juhudi za kuhamasisha utalii wa ndani na kuchochea ukuaji wa uchumi, mbio za kipekee zinazojulikana kama “Mtembezi Marathon” imeandaliwa…

Soma Zaidi »
Featured

Rais Samia: Ndugulile ameweka heshima Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan ameongoza shughuli ya kuuga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la…

Soma Zaidi »
Back to top button