Sijawa Omary

Tanzania

Wananchi Mtwara watakiwa kuchangamkia fursa

WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchangamkia fursa za kibiashara hasa yanapotokea matamasha na shughuli zinazokusanya watu wengi. Mwenyekiti wa Baraza la…

Soma Zaidi »
Infographics

Coca-Cola wazindua tamasha la chakula

Kampuni ya Coca-Cola leo imezindua Tamasha la Chakula la Coca-Cola lijulikanalo kama Coca-Cola Food Fest. Tamasha hilo m linawaleta pamoja…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mati Super Brands wajiandisha kupiga kura

MKURUGENZI Mtendaji wa Kampuni ya kuzalisha vinywaji changamshi ya Mati Super Brands Limited, David Mulokozi ameongoza wafanyakazi wa kampuni hiyo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waiomba serikali kujenga uzio shule za serikali

WANANCHI wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha wameiomba serikali kujenga uzio katika shule za bweni za serikali zilizopo wilayani hapa…

Soma Zaidi »
Afya

Mageuzi yaja sekta ya afya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali kuhakikisha huduma bora zinapatikana kwa watoto wachanga na mama wajawazito…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wapewa elimu kupinga ukatili wa kijinsia

WANAWAKE katika kata ya Vigaeni Manispaa ya Mtwara-Mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kupinga vitendo vya ukatili vya aina yoyote kwa watoto…

Soma Zaidi »
Featured

Bundi azidi kuiandama Arsenal

ITALIA: BEKI wa Italia na klabu ya Arsenal, Riccardo Calafiori alilzimika kutolewa nje kutokana na majeraha katika mchezo wa ‘Nations…

Soma Zaidi »
Featured

Mchezo wa vihunzi kuanzishwa nchini

WADAU wa michezo wapatao 50 kutoka mataifa mbalimbali wamefundwa sheria za mchezo wa vihunzi watakazotumia kusimamia na kuanzisha mchezo huo…

Soma Zaidi »
Infographics

Wasanii kuwaenzi watu mashuhuri ‘Leaders’ kesho

WASANII wa Muziki, waigizaji, watangazaji na watu wengine mashuhuri wa tasnia mbalimbali nchini ambao walishafariki dunia watakumbukwa katika viwanja vya…

Soma Zaidi »
Infographics

Sikinde kukiwasha leo usiku

BENDI ya Sikinde Ngoma ya Ukae, Baraza la Sanaa la Taifa kwa kushirikiana na Kituo cha Utamaduni cha Ufaransa Alliance…

Soma Zaidi »
Back to top button