Na Veronica Mheta, Arusha

Tanzania

Wapewa elimu athari matumizi dawa za kulevya

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) Kanda ya Kaskazini imetoa elimu kinga kwa waumini wa dini…

Soma Zaidi »
Fedha

Washauriwa kutumia taasisi rasmi huduma za fedha

WANANCHI Halmashauri ya Mlimba iliyopo wilayani Kilombero mkoani Morogoro wametakiwa kuhakikisha wanatumia taasisi za huduma ndogo za fedha ambazo zimeidhinishwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Hali tete ongezeko hali mbaya ya hewa

KAIMU Mkurugenzi Mkuu, TMA na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Mabadiliko ya Sayansi ya Hali ya Hewa na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Shirika lawakumbuka vijana ujenzi wa taifa

DAR ES SALAAM: SHIRIKA la Vijana Tai Tanzania kwa kushirikiana na ubalozi wa Marekani nchini Tanzania wataendelea kuwezesha vijana wengi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi Mohoro waanza kugaiwa eneo jipya

SERIKALI imeanza kugawa eneo jipya kwa ajili ya makazi ya wananchi waliokumbwa na mvua za El-Nino katika kata ya Mohoro…

Soma Zaidi »
Uwekezajia

Serikali kuboresha mazingira ya uwekezaji

WAZIRI wa Fedha, Mwigulu Lameck Nchemba ameihakikishia Jumuiya ya Kimataifa na Watanzania kwa ujumla kwamba serikali inaendelea kuweka na kuboresha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mbegu za asili kufanyiwa utafiti

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu (TPHPA), inakusanya mbegu za asili kwa ajili ya kuzihifadhi zisipotee,…

Soma Zaidi »
Afya

“Nyama ya mbuzi inaongeza maumivu magotini”

DAKTARI bingwa bobezi wa nyonga na magoti wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) Dk Antony Assey amesema ulaji…

Soma Zaidi »
Biashara

Dola milioni 8 kukuza biashara

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Marekani kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), imesema itatoa uwekezaji wa Dola…

Soma Zaidi »
Siasa

Ado aongoza kikao sekretarieti ACT

VUGA–UNGUJA:  Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu Ado leo ameongoza kikao cha Sekretarieti ya Chama kinachoendelea katika ofisi ndogo…

Soma Zaidi »
Back to top button