Na Frank Leonard, Mafinga

Tanzania

Wavunaji misitu Mafinga wapata uongozi mpya

UMOJA wa Wavunaji Misitu katika shamba la miti la serikali la Saohill (UWASA) umemchagua Chesco Ng’umbi maarufu kama CF kuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Baraza la Wazee Mtwara lampongeza Rais Samia

BARAZA Maalum la Wazee wa Kimila Wilaya ya Mtwara mkoani humo limetoa tamko la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa…

Soma Zaidi »
Madini

Mfanyabiashara wa madini atuhumiwa kuwapiga watendaji idara ya ardhi

MFANYABIASHARA wa Madini ya Tanzanite mkoani Arusha, Sanare Mollel maarufu kwa jina la ‘Muller, mkazi wa kijiji cha Moita Bwawani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh milioni 20 kujenga ofisi ya CCM Mbogwe

MKUU wa WIilaya ya Mbogwe, Sakina Mohamed amekusanya jumla ya Sh milioni 20 kwa ajilii ya ujenzi ya ofisi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tunahitaji jamii inayochukia rushwa- Samia

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema taifa linapaswa kuwa na jamii yenye ujasiri inayoweza kuhoji watu wanaojipatia mali zisizo na maelezo…

Soma Zaidi »
Infographics

Diaspora kushiriki maoni Dira ya Maendeleo 2050

RAIS Samia Suluhu amewataka Wananchi wote pamoja na wale wanaoishi Ughaibuni (DIASPORA) kushiriki kikamilifu katika uandishi wa Dira ya Maendeleo…

Soma Zaidi »
Infographics

Samia: Mafanikio Tanzania ni maono walionitangulia

RAIS Samia Saluhu amesema mafaniko ya Tanzania yametokana na maono ya viongozi waliomtangulia. Rais Samia amesema hayo leo katika maadhimisho…

Soma Zaidi »
Tanzania

Watumiaji Intaneti wafikia milioni 34

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo katika taarifa yake ameeleza Watanzania 34.4 hadi sasa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mshindi bingwa msimu wa pili kubeba Crown

KAMPUNI ya Startimes Media imetambulisha zawadi ya gari aina ya Toyota Crown yenye thamani ya Sh milioni 20 itakayotolewa kwa…

Soma Zaidi »
Africa

Zimbabwe, Botswana kusafiri bila pasipoti

MATAIFA ya Zimbabwe na Botswana yanafanyia kazi mpango wa kufuta mahitaji ya hati ya kusafiria ‘pasipoti’ kwa raia wa nchi…

Soma Zaidi »
Back to top button