Mohamed Akida

Michezo na Burudani

Simba kusukwa upya

MWENYEKITI wa Simba, Murtaza Mangungu amesema tayari wameanza mchakato wa kukisuka upya kikosi chao kwa ajili ya msimu ujao. Simba…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Bingwa Ligi ya Wanawake kupatikana Iringa leo

LIGI Kuu ya Wanawake inahitimishwa leo ambapo timu zinazoangaliwa ni Simba Queens na JKT Queens zenye nafasi ya kuchukua ubingwa…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Serikali kuimarisha ubora wahitimu uhandisi UDSM

MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Jakaya Kikwete amesema serikali kupitia Wizara ya Elimu kwa kushirikiana…

Soma Zaidi »
Tanzania

Prof Mkenda atangaza vipaumbele 5 elimu  

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetaja vipaumbele vitano itakavyovitekeleza katika mwaka wa fedha 2023/24 ili kuongeza ubora wa elimu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Serikali yaandaa miongozo saba kuboresha elimu

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imelieleza Bunge kuwa imeandaa miongozo kuhakikisha kuwa elimu ya awali, msingi na elimu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Elimu ufundi stadi kuimarisha nguvu kazi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa elimu ya ufundi…

Soma Zaidi »
Infographics

Madarasa 1,000 kuanzishwa elimu ya watu wazima

SERIKALI itaendelea kutekeleza mkakati wa kitaifa wa kukuza na kuendeleza kisomo na elimu kwa umma kwa kuanzisha madarasa 1,000 kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chalamila: Nina bahati kuhamishiwa Dar

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema anajisikia mwenye bahati kuhamishiwa katika mkoa huo. Chalamila alisema jana…

Soma Zaidi »
Tanzania

IJP Wambura apangua ma-RPC

MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania (IJP), Camillus Wambura amebadilisha makamanda wa polisi wa mikoa kwa kuwahamisha na wengine kupangiwa…

Soma Zaidi »
Afya

JKCI kutoa matibabu ya moyo Kisarawe

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete(JKCI) kesho itaanza kufanya kambi ya matibabu itakayohusisha upimaji na matibabu ya moyo kwa wananchi…

Soma Zaidi »
Back to top button