Na Rahimu Fadhili

Siasa

Katiba mpya ni suala la muda-Rais Samia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema muda sio mrefu ataunda kamati kwa kushirikiana na vyama vingine vya siasa ambayo…

Soma Zaidi »
Jamii

Samia: Tuangalie tulipojikwaa mmomonyoko wa maadili

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wazazi kuangalia sehemu waliyokosea kwenye suala la malezi ya watoto na kulifanyia kazi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Chongolo uso kwa uso na bilionea Laizer.

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Daniel Chongolo amekutana na bilionea Laizer katika mkutano wa shina namba 26 Tawi la…

Soma Zaidi »
Siasa

Mbowe: Epuka machawa

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuepukana na watu wanaojiita machawa wake. Mbowe…

Soma Zaidi »
Fursa

TPSF yasisitiza matumizi ya teknolojia, ubunifu kumkomboa mwanamke

WAKATI dunia ikiadhimisha Siku ya Wanawake, Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) imesisitiza kuwa teknolojia kuwa ni nyezo muhimu katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Yanga: Feisal hajaripoti

IMEELEZWA kuwa mchezaji wa Yanga, Feisal Salum hajaripoti klabuni hapo kama alivyotakiwa kufanya na timu hiyo. Ifahamike baada ya Kamati…

Soma Zaidi »
Utalii

Wajadili ubunifu sekta ya utalii

KATIKA kuadhimisha siku ya Mwanamke Duniani, Wanawake wa Bunge la Afrika Mashariki pamoja na taasisi ya The Fungua Trust  kwa…

Soma Zaidi »
Africa

Mchezaji Ivory Coast afariki uwanjani

MCHEZAJI chipukizi wa Ivory Coast, Sylla Moustapha amefariki baada ya kuanguka uwanjani wakati wa mechi ya Ligi Kuu nchini humo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi yasikitishwa adhabu kali mashuleni, majumbani

ADHABU kali zilizopitiliza kutoka kwa walimu na walezi ni sehemu ya matukio ya ukatili wa kijinsia kwa wanafunzi yaliyolilazimisha jeshi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh milioni 100 za halmashauri zanufaisha vikundi 13 vya wanawake

MANISPAA ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara imekabidhi mfano wa hundi yenye thamani zaidi ya Sh milioni 100 kwa vikundi 13…

Soma Zaidi »
Back to top button