Na Rahimu Fadhili

Michezo na Burudani

Rais Samia atoa Sh 92 milioni ahadi Ndondo Cup

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake ya kuchangia Sh milioni 92 kwa washindi wa Ndondo Cup. Msemaji…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Makamu wa Rais awasili Hungary

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk Philip Mpango leo amewasili Budapest nchini Hungary ambapo anatarajia kumuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Fabio Grosso kocha mpya Lyon

BEKI wa zamani wa Juventus na timu ya taifa ya Italia, Fabio Grosso anakaribia kujiunga na timu ya Olympique Lyon…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Chama: Tutapambana kuwafunga Power Dynamos

“Tutapambana sisi ni timu kubwa” maneno ya kiungo wa Simba SC, Clatous Chama akizungumza kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

RASMI: Verratti atimika Qatar

KIUNGO wa Kitaliano, Marco Verrati leo ametambulishwa rasmi na klabu yake ya Al-Arab ya nchini Qatar akitokea PSG ya Ufaransa.…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kocha Poland atimuliwa baada ya mechi sita

KOCHA Fernando Santos ametimuliwa kuifundisha timu ya taifa ya Poland ikiwa ni mwaka mmoja tangu aichukue timu hiyo. Santos alitimuliwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

TANESCO yaomba mvua changamoto ya umeme

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Maharage Chande amewaomba watanzania kuombea nchi ipate mvua za haraka ili kuvinusuru…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wapewa mbinu za kujiajiri

VIJANA wanaohitimu masomo yao kwenye vyuo mbalimbali wamepewa mbinu za kuachana na utegemezi wa ajira za serikali, badala yake wajiunge…

Soma Zaidi »
Tanzania

Active Mama: Mikutano kimataifa itumike kujitangaza

MKURUGENZI wa Taasisi ya Active Mama, Ernestina Mwenda amewataka watanzania kutumia mikutano ya kimataifa inayofanyika hapa nchini katika kujitangaza katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia awapa neno wanafunzi darasa la saba

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi wote wa Darasa la Saba wanaoanza mitihani yao ya kuhitimu leo.…

Soma Zaidi »
Back to top button