Martin Mazugwa

Michezo na Burudani

Marioo azungumzia mafanikio yake

MSANII wa muziki wa bongofleva Omary Mwanga, ‘Marioo’ amesema kuwa msingi wa mafanikio yake ni kujituma na  kuwa na muendelezo…

Soma Zaidi »
Zanzibar

Benki kusaidia ujenzi chuo cha ubaharia

BENKI ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imekubali kusaidia ujenzi wa Chuo cha Ubaharia ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kwenda…

Soma Zaidi »
Zanzibar

SMZ yahimiza upandaji miti ufukweni

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imewataka wananchi kuotesha miti ya aina mbalimbali ikiwamo mikoko pembezoni mwa bahari kukabili mabadiliko…

Soma Zaidi »
Biashara

Soko la Vetenari karibu kutumika

WAFANYABIASHARA wa Soko la Vetenari mkoani Dar es Salaam wataanza kutumia soko hilo ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa. Hayo…

Soma Zaidi »
Kanda

RC asitisha kupokea taarifa ya migodi

MKUU wa Mkoa wa Mara, Suleiman Mzee amesitisha kupokea taarifa ya migodi ya madini iliyo mkoani humo, mpaka baada ya…

Soma Zaidi »
Biashara

NMB yazungumzia uchumi sawa uliowezeshwa

BENKI ya NMB imeahidi kuendelea kutekeleza dhamira yake ya kuhakikisha usawa wa kijinsia katika sekta ya kibenki nchini, ikiwa ni…

Soma Zaidi »
Kanda

Bil 5/- kukopesha wamachinga

MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Joseph Mafuru amesema Sh bilioni tano zitatolewa kwa ajili ya mikopo na miongoni mwa wanufaika…

Soma Zaidi »
Afya

Serikali yabaini kusuasua utumiaji ARVs     

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa kati ya watu 100 wanaoishi na virusi vya ugonjwa wa Ukimwi nchini, watano…

Soma Zaidi »
Kanda

Halmashauri, shirika wazungumza kupunguza hewa ukaa

MKURUGENZI Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mtama, George Mbilinyi amesema halmashauri hiyo itaendelea na mazungumzo na Shirika la Maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Watu 500 kushiriki wiki ya Azaki

TAKRIBANI washiriki 500 kutoka maeneo tofauti nchini na nchi jirani, wanatarajia kushiriki wiki ya Asasi Za Kiraia (AZAKI), mkoani Arusha…

Soma Zaidi »
Back to top button