Amina Omari, Tanga

Africa

Mkonge wamvuta mwana wa mfalme nchini

BODI ya Mkonge Tanzania (TSB) imesema iko tayari kushirikiana na Falme ya Babina Noko Ba Mampuru iliyopo katika Jimbo la…

Soma Zaidi »
Africa

Kabudi ahimiza utunzaji misitu

MBUNGE wa Kilosa, mkoani Morogoro, Profesa Palamagamba Kabudi  amewataka wananchi kutunza misitu. Profesa Kabudi alisema hayo jumatano katika Kata ya…

Soma Zaidi »
Africa

Wakazi wa Lulanzi waiangukia Dawasa

WAKAZI wa Mtaa wa Lulanzi, wilayani Kibaha, mkoani Pwani wameiomba Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es…

Soma Zaidi »
Africa

 Nyamka ateuliwa Kamishna Jenerali Magereza

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Kaimu Kamishna wa Magereza Huduma za Urekebishaji, Mzee Nyamka kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la…

Soma Zaidi »
Kanda

Rais samia awateua Mwantumu Mahiza, Peter Ilomo

RAIS Samia Suluhu Hassan leo amewateua Skauti Mkuu wa Tanzania Bi Mwantumu Mahiza na Katibu Mkuu Mstaafu Peter Ilomo kuwa…

Soma Zaidi »
Kanda

Watoto wanne familia moja wateketea kibanda cha mganga kikiungua

WATOTO wanne wa familia moja wamefariki dunia na wengine saba kujeruhiwa baada kibanda cha mganga wa kienyeji walipo kuwa kuungua…

Soma Zaidi »
Afya

Zaidi ya watu milioni 1.6 hawajarudi chanjo ya uviko-19

WATU 1,648,219 kati ya 8,599,228 waliochoma chanjo ya Pfizer na Sinopharm katika kipindi cha mwezi Julai hadi Agosti 14 hawajarudi…

Soma Zaidi »
Gesi

TPDC yaanza mchakato kuzalisha gesi asilia Ntorya

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchi (TPDC) limeanza mchakato wa kuzalisha gesi asilia katika eneo la Ntorya lilipo katika kata…

Soma Zaidi »
Kanda

10,000 kunufaika na ukarabati wa tangi la maji

WANANCHI zaidi ya 10,000 wanaoishi katika mitaa ya Mgaza na Kasanga, Kata ya Mindu, Manispaa ya Morogoro sasa watapata maji ya…

Soma Zaidi »
Kanda

Mahakama kutoa uamuzi mdogo Sept 2. Kesi ya Mdee, Wenzake

JAJI wa Mahakama Kuu anayesikiliza kesi ya Mbunge wa Viti Maalum Halima Mdee na wenzake 18, Jaji Cyprian Mkeha amesema…

Soma Zaidi »
Back to top button