Ally Ruambo

Tanzania

Mtoto wa Simbachawene ahukumiwa faini au jela miezi 18

MAHAKAMA ya Wilaya Kinondoni mkoani Dar es Salaam imemtia hatiani na kumhukumu, James Simbachawene (24) alipe faini ya shilingi 250,000…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dr Mpango aongoza kumuaga Mrema

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Tanzania Labour Party (TLP), Augustine Mrema alikuwa ni kiongozi mkweli…

Soma Zaidi »
Kanda

Dk Yonazi ashiriki kikao cha Tume ya Pamoja (JPC) Tanzania, Msumbiji

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dk. Jim Yonazi ameshiriki kikao cha 15 cha Tume…

Soma Zaidi »
Africa

Mapigano yaibuka tena eneo la Tigray, Ethiopia

MAPIGANO kati ya wanajeshi kutoka eneo la kaskazini mwa Ethiopia lenye waasi la Tigray na vikosi vya serikali kuu yamezuka…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: Zaidi ya Watu milioni 10 wamehesabiwa

MRATIBU wa Sensa Kitaifa, Seif Kuchengo amesema zoezi la sensa linaendelea vizuri kitaifa ambapo hadi jana zaidi ya wananchi milioni…

Soma Zaidi »
Asia

Mahakama Thailand yamsimamisha kazi Waziri Mkuu

MAHAKAMA ya Kikatiba ya Thailand leo Agosti 24 imemsimamisha kazi Waziri Mkuu Prayuth Chan-ocha wakati ikitazamia shauri la kesi ambayo…

Soma Zaidi »
Asia

Ukraine yaadhimisha miaka 31 ya Uhuru

UKRAINE imeadhimisha siku ya uhuru ikiwa ni miaka 31 tangu ijitenge na Umoja wa Kisovieti lakini pia ikiwa ni miezi…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: UN yaipongeza Tanzania zoezi la Sensa kidijiti

SHIRIKA la Idadi ya Watu la Umoja wa Mataifa limeipongeza Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Mtakwimu Mkuu kwa…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: DC aridhishwa na zoezi la Sensa Mpanda

MKUU wa Wilaya ya Mpanda Jamila Yusuf amesema hadi mchana wa leo zoezi la Sensa linaendelea vizuri katika Wilaya hiyo.…

Soma Zaidi »
Kanda

SENSA2022: Bashungwa ataka wananchi kutoa ushirikiano kwa makarani

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa wananchi kuendelea…

Soma Zaidi »
Back to top button