Na Mwandishi Wetu

Podcast

Hotuba ya Rais Samia kuhusu Sensa

Hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Sensa iliyopangwa kufanyika leo Agosti 23, 2022

Soma Zaidi »
Kanda

Rais Samia – ‘twendeni tukahesabiwe’

RAIS Samia Suluhu Hassan amelihutubia taifa akiwataka wananchi wote kujitokeza kuhesabiwa katika zoezi la kitaifa linalotarajiwa kuanza mapema kesho Agosti…

Soma Zaidi »
Dodoma

Wananchi waondolewa ajali ya lori la mafuta kongwa

MKUU wa Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Remedius Mwema Emmanuel amesema mamlaka wilayani humo zimefanikiwa kuondoa umati wa wananchi uliokuwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mandonga: Nitaleta furaha kwa Watanzania

Bondia maarufu kwa sasa nchini Karim Mandonga, amesema amekusudia kuwapa watanzania furaha baada ya kushinda pambano  kwenye mzunguko wa kwanza…

Soma Zaidi »
Sayansi & Teknolojia

Mbio za kwenda mwezini zarejea tena

ROBOTI Danuri anafanya uchunguzi kubaini mvutano mkubwa kati ya Jua na Mwezi akielekea Mwezini ambako ndio kituo chake cha mwisho. …

Soma Zaidi »
Africa

Raila awasilisha ombi kwa mtandao kupinga matokeo ya urais

Timu ya wanasheria wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari imewasilisha nakala ya kielektroniki ya ombi la kupinga ushindi…

Soma Zaidi »
Diplomasia

Tanzania, India zaahidi kuendeleza ushirikiano

SERIKALI ya Tanzania na India zitaendelea kuimarisha ushirikiano ikiwemo kuhakikisha sekta za afya na nyingine zinaimarika ikiwemo kilimo. Akizungumza katika…

Soma Zaidi »
Uchumi

Wafugaji wa samaki wahakikishiwa mikopo

NAIBU Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amewahakikishia wanachama wa vikundi vya ufugaji samaki kwa njia ya vizimba mkoani…

Soma Zaidi »
Afya

Upatikanaji wa dawa waimarika Nyang’wale

SERIKALI imefanikiwa kuimarisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwenye vituo vya afya wilayani Nyang’hwale mkoani hapa, kutoka asilimia 85…

Soma Zaidi »
Muziki

MARIOO amshukuru Barnaba

MSANII wa Bongofleva, Omar Mwanga ‘Marioo’ amesema, hakuna kitu kigumu kama kushirikiana na wasanii wakubwa kwani mara nyingi wanajiona wako…

Soma Zaidi »
Back to top button