Na Ikunda Erick

Tanzania

Latra yaita wadau wanaotaka saa 24

MAMLAKA ya Udhibiti Usafi ri Ardhini (LATRA), imewaita wadau wenye nia ya kutoa huduma za usafi ri wa abiria kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

TPA yatumia bilioni 1.146/- kusaidia afya, elimu, dharura

ZAIDI ya Sh bilioni 1.146 zimetumiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania, TPA, kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali…

Soma Zaidi »
Mafuta

Bil 10/- kuwezesha vituo vya petroli vijijini

SERIKALI imetenga Sh bilioni 10 kwa ajili ya mikopo nafuu kwa ajili ya waendeshaji vituo vidogo vya kusambaza bidhaa ya…

Soma Zaidi »
Madini

Mchango wa madini maduhuli ya serikali waongezeka

TUME ya Madini katika mwaka 2022/2023 imepata mafanikio makubwa yakiwemo ya kukusanya maduhuli ya serikali ya Sh bilioni 678.04 kutoka…

Soma Zaidi »
Kanda

Rais Samia amfuta kazi Katibu Mkuu Wizara ya Maji

DODOMA: Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi  Nadhifa Kemikimba kuanzia leo Agosti 18,…

Soma Zaidi »
Afya

Wananchi Kusini washauriwa kutumia mazao ya lishe

WANANCHI wa Kanda za Juu Kusini, wameshauriwa kutumia mazao yenye viini lishe ili kujikinga na udumavu unaowaathiri watoto kwa kiwango…

Soma Zaidi »
Tanzania

Washauri kulima pareto

WANAWAKE na vijana wameshauriwa kulima zao la pareto kwa sababu soko lake lipo na bei ni nzuri kwa kuwa kilo…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ataka fidia Sh milioni 123 kupiga wimbo kwenye matangazo

Msanii wa Kizazi kipya, Nuni Suleimani (35) ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Arusha kuiamuru Kampuni ya Mabasi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia mgeni rasmi mkutano viongozi taasisi za serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kufungua kikao kazi cha Wenyeviti na Wakurugenzi wa Mashirika ya Umma na Taasisi za Serikali,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwandishi TSN atwaa tuzo habari za korosho

MWANDISHI wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali  (TSN) anayeripoti kutoka mkoani Mtwara, Sijawa Omary ameibuka mshindi kwa kuwa mwandishi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button