Na Rahimu Fadhili

Tanzania

Waliomba kujiunga na polisi wapewa maelekezo

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya limewajulisha vijana waliotuma maombi ya kujiunga na jeshi hilo kutembelea mbao za matangazo katika…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Sita kuwania mchezaji bora EPL

ERLING Haaland ni mmoja wa wachezaji watatu wa Manchester City walioteuliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa chama…

Soma Zaidi »
Africa

Watu kadhaa wahofiwa kufa ajali ya boti Cape Verde

WATU kadhaa wamekufa na wengine 38 kuokolewa katika ajali ya boti Cape Verde. Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeonya…

Soma Zaidi »
Utamaduni

Nafasi maofisa utamaduni kujazwa

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dk Pindi Chana amesema wizara yake inafanya mazungumzo na Ofisi ya Rais ,Tawala…

Soma Zaidi »
Tanzania

Rais Samia ateua wenyeviti TRC, Veta

Taarifa iliyotolewa usiku huu wa Agosti 16, 2023 kutoka kitengo cha mawasiliano ya Rais Ikulu imeeleza kuwa Rais Samia Suluhu…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Wababe 20 kushiriki kombe la Angeline Mwanza

ChangeLog: https://www.codeigniter.com/user_guide/changelogs/v4.3.0.html Upgrading Guide: https://www.codeigniter.com/user_guide/installation/upgrade_430.html

Soma Zaidi »
Tanzania

Korosho Marathon kufanyika Septemba 2 Mtwara

MSIMU wa pili wa mbio za Korosho Marathon utafanyika Septemba 2, 2023 katika viwanja vya Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Akizungumzia…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahamiaji haramu 65 wakamatwa Katavi

WAHAMIAJI haramu 65 kutoka nchini Ethiopia wamekamatwa katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi wakiwa katika gari la kubebea mafuta wakisafirishwa…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Trump atakiwa kujisalimisha

ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump amefunguliwa mashtaka ya ulaghai na msururu wa uhalifu katika uchaguzi mkuu wa 2020 katika…

Soma Zaidi »
Madini

Mgodi Kitalu C wageuka shamba la bibi

IMEELEZWA mgodi wa Kitalu C wa Madini ya Tanzanite uliopo Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara umekuwa shamba la bibi­­­ baada…

Soma Zaidi »
Back to top button