Na Rahimu Fadhili

Michezo na Burudani

Simba yampeleka Onyanga Singida FG

Simba SC imethibitisha kumtoa kwa mkopo beki Joash Onyango (30) kwenda Singida Fountain Gate FC. Uongozi wa Simba SC umetoa…

Soma Zaidi »
Utalii

Boateng, Coman, Kimmich watua Serengeti

WACHEZAJI kutoka Bayarn Munchen, Joshua Kimmich, Kingsley Coman na aliyekuwa beki wa timu hiyo, Jerome Boateng wote kutoka Taifa la…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Ratiba kombe la shirikisho hii hapa

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limetoa ratiba ya michezo ya Ngao ya Jamii itakayochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Kila kijiji kiwe na shule ya msingi na chekechea”

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza halmashauri zote kuhakikisha kila kijiji kinakuwa na shule ya msingi na darasa la awali. Majaliwa…

Soma Zaidi »
Dini

Kibaha kujengwa Bakwata

WILAYA ya Kibaha iko mbioni kujengewa Baraza Kuu la Waislamu (BAKWATA) baada ya mbunge wa Jimbo la Kibaha mjini, Silvestry…

Soma Zaidi »
Jamii

Katambi aonya wasiopeleka michango hifadhi ya jamii

NAIBU Waziri Ofi si ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amewataka waajiri kote nchini kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dirisha la usajili lipo kwa Simba, Yanga na Azam pekee?

WIKI moja imepita tangu dirisha la usajili kwa timu za madaraja ya Ligi Kuu, Championship, Daraja la Kwanza na Ligi…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Kocha alivyomficha Fabregas Barca wasimuone

SI ulishawahi kuusikia ule msemo wa Waswahili unaosema mbaya wako hatoki mbali, ndio ambao ulimtokea kiungo fundi raia wa Hispania,…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

“Visa vikali vya kusisimua”

ANAUJUA ubora wake hasa katika suala la uandishi wa visa vikali vya kusisimua. Kupitia maandishi yake ameweza kutengeneza mashabiki lukuki…

Soma Zaidi »
Bunge

Tulia azidi kung’ara mbio Urais mabunge duniani

WABUNGE wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) wamempitisha Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia…

Soma Zaidi »
Back to top button