ONLINE, Statement

Kimataifa

Musk abadili mfumo kuona tweets

MMILIKI wa Twitter, Elon Musk ametangaza mfumo mpya wa matumizi ya mtandao huo. Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Musk ametoa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

MBOMBO yupo yupo Chamazi

 MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Idris Mbombo ameongeza mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuitumikia timu hiyo.   Hatua hiyo ni…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Sawadogo ndo basi Msimbazi

SIMBA SC imetangaza kuachana na kiungo wao Ismael Sawadogo kufuatia makubaliano ya pande zote mbili. Maamuzi hayo ni mwendelezo wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

FABREGAS astaafu soka, awa kocha

KIUNGO raia wa Hispania, Cesc Fabregas ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 36. Fabregas alianza soka kwenye timu…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waziri akaribisha wawekezaji kutoka China

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Ashatu Kijaji amewakaribisha wawekezaji kutoka China kuwekeza katika uzalishaji wa mafuta na bidhaa nyingine…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mchakato saa 24 maduka Kariakoo waanza kuiva

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameahidi kuharakishwa kwa mchakato wa kufunguliwa maduka ya Kariakoo kwa saa…

Soma Zaidi »
Siasa

Wavamizi wa ardhi Bagamoyo waonywa

BAADHI ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wa serikali katika Halmashauri ya Bagamoyo, mkoani Pwani wameonywa kuacha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tasac yatoa mwelekeo tozo mpya za TPA

SHIRIKA la Uwakala wa Meli nchini (TASAC) limesema litazingatia maoni yaliyotolewa na wadau wa usafirishaji  majini mkoani Kigoma kuhusiana na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waziri Mkuu awasili Tanga kwa ziara

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewasili mkoani Tanga kwa ziara ya siku moja ambapo atapokea taarifa ya mradi wa upanuzi wa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Naibu Waziri asifu watoto umahiri mashindano baiskeli

NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa na Utamaduni, Hamisi Mwijuma amewasifu watoto watatu wa familia moja baada ya kuonyesha umahiri wao…

Soma Zaidi »
Back to top button