Afya

WHO yatoa msaada dawa kutibu maji

SHIRIKA la Afya la Umoja wa Mataifa (WHO),  limekabidhi kwa idara ya afya Mkoa Kigoma dawa na vifaa mbalimbali kwa…

Soma Zaidi »

Hizi hapa njia sahihi kuepuka homa ya ini

MATUMIZI ya muda mrefu ya baadhi ya vyakula, hasa mihogo na karanga, vyenye sumukuvu yanasababisha homa ya ini. Kwa mujibu…

Soma Zaidi »

Dar wajipanga kudhibiti marburg

MGANGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Dk. Rashid Mfaume ametangaza mkakati wa mkoa kudhibiti ugonjwa wa Marburg ambao upo mkoani…

Soma Zaidi »

WHO yaitaja Tanzania mafanikio kukabili TB

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limeitaja Tanzania kuwa miongoni mwa nchi ambazo zimevuka au kufikia lengo la kupunguza maambukizi mapya…

Soma Zaidi »

Majaliwa: Tushirikiane kutokomeza Kifua Kikuu

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waungane na serikali na wadau wa maendeleo kutokomeza ugonjwa wa Kifua Kikuu (TB) na…

Soma Zaidi »

‘Tumeendelea kudhibiti ugonjwa wa virusi vya marburg’

WIZARA ya Afya imesema inaendelea kudhibiti ugonjwa uliosababishwa na virusi vya marburg na kuua watu watano mkoani Kagera, ambapo mpaka…

Soma Zaidi »

Ummy awasili Kagera kufuatilia ugonjwa wa marburg

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu leo amewasili Mkoani Kagera kwa lengo la kujua hali inavyoendelea juu ya ugonjwa wa Marburg…

Soma Zaidi »

Wataalamu washauri walaji nyama pori waache

WATAALAMU wa afya, wameshauri walaji nyama pori kuacha, kwani baadhi ya wanyama ni chimbuko la virusi vya marburg. Mratibu wa…

Soma Zaidi »

wataalamu 132 wahitimu mafunzo

WATAALAMU kutoka sekta mbali mbali wamehitimu mafunzo ya kukabiliana na milipuko ya magonjwa pamoja na majanga. Kozi hiyo  imeendeshwa na…

Soma Zaidi »

Mfumo mshitiri kumaliza shida ya dawa vituo vya afya

SERIKALI imesema kuwa iwapo Mfumo wa mshitiri (prime Vendor system) ukisimamiwa vizuri utamaliza changamoto ya uhaba wa dawa na Uwepo…

Soma Zaidi »
Back to top button