Afya

‘Wasaidieni wenye matatizo afya ya akili’

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameiasa jamii kuacha tabia ya kuwanyanyapaa watu wenyechangamoto ya afya ya akili, badala yake wawasaidie…

Soma Zaidi »

Ummy: Magonjwa ya akili yaingizwe bima ya afya

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema umefika wakati magonjwa ya afya ya akili yaingizwe katika mfumo wa bima ya afya…

Soma Zaidi »

‘Mnaokuja Bukoba kuzima Mwenge msihofu’

MKUU wa Wilaya ya Bukoba, Moses Machali, amewatoa hofu viongozi wa serikali na wageni mbalimbali wanaowasili wilayani hapo kwa ajili…

Soma Zaidi »

Ummy ataka bima ya afya magonjwa ya akili

WAZIRI Wa Afya ,Ummy Mwalimu, amesema ni wakati sasa magonjwa ya afya ya akili kuingizwa katika mfumo wa bima ya…

Soma Zaidi »

Wataka mfumo ustawi wa jamii kuangaliwa upya  

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeishauri serikali kuangalia upya mfumo wa hifadhi ya jamii ili ndani yake uwe na bima ya…

Soma Zaidi »

Elimu ya Ebola yafikishwa sokoni, gesti Kagera

KAMPENI za kujikinga na mlipuko wa ugonjwa wa Ebola mkoani Kagera zimeingia katika hatua nyingine baada ya Wizara ya Afya kupitia…

Soma Zaidi »

Sh mil 500 kuboresha tiba kwa wananchi 72,000 Musoma

AWAMU ya kwanza ya ujenzi wa kupandisha hadhi zahanati ya Rwamlimi katika Manispaa ya Musoma mkoani Mara kiwe kituo cha…

Soma Zaidi »

Mbinu za kukabiliana na tatizo la afya ya akili zatajwa

Ongezeko la gharama za maisha na hali ngumu ya uchumi inatajwa kuwa sababu ya kukua kwa tatizo la afya ya…

Soma Zaidi »

Maambukizi Covid-19 yapungua kwa 18.4%

MAAMBUZIKI ya ugonjwa wa Covid-19 yamepungua kwa asilimia 18.4 katika kipindi cha Agosti 26 hadi Oktoba 7, mwaka huu. Hayo…

Soma Zaidi »

Watu mil 7 waishi na magonjwa ya akili

TANZANIA inakadiriwa kuwa na takribani watu milioni saba wanaoishi na magonjwa ya akili. Hayo yamo kwenye taarifa ya Waziri wa…

Soma Zaidi »
Back to top button