Afya

Shilingi Bilioni 23 zatengwa kwa watoto njiti

SERIKALI imetenga Shilingi Bilioni 23 kwa ajili ya ujenzi wa wodi ya watoto njiti ili kupunguza vifo kwa watoto hao.…

Soma Zaidi »

MOI: Wagonjwa 3 wa kiharusi hupokelewa kila siku

WAGONJWA watatu wa kiharusi (stroke) hupokelewa kila siku katika Taasisi Tiba ya Mifupa (MOI). Daktari bingwa wa Ubongo, mgongo na…

Soma Zaidi »

Serikali yashauriwa mifuko mitatu bima ya afya 

SERIKALI imeshauriwa kuboresha muswada wa bima ya afya kwa wote kwa kuwa na mifuko mitatu ukiwamo wa sekta binafsi isiyo…

Soma Zaidi »

Rais Samia ampeleka Prof Janabi MNH, ateua bosi mpya JKCI

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Mkurugenzi Mtendaji  wa Taasisi ya Moyo yya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Yakubi Janabi kuwa…

Soma Zaidi »

RC Tanga ataka mikakati kupunguza udumavu

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Omar Mgumba ameziagiza halmashauri kuhakikisha fedha zilizotengwa kwa àjili ya kutekeleza afua za lishe zinatekeleza…

Soma Zaidi »

Kaya 367,456 kupatiwa vyandarua Mtwara, Lindi

JUMLA ya kaya 367,456 katika Halmashauri sita Mikoa ya Mtwara na Lindi, zinatarajiwa kupatiwa vyandarua vyenye dawa kupitia kampeni, ambayo…

Soma Zaidi »

Waeleza mikakati ya kupambana na TB Afrika

ILI kufikia malengo ya kupambana na maradhi ya kifua kikuu na ukimwi katika nchi tisa za Afrika kwa kipindi cha…

Soma Zaidi »

Bunge lapewa angalizo  bima ya afya kwa wote

CHAMA cha Wafanyakazi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (THTU), kimelishauri bunge kujiridhisha kwanza kama Sheria ya Bima ya…

Soma Zaidi »

Wananchi kupimwa kubaini magonjwa yasiyoambukiza

WIZARA ya Afya imesema inakusudia kuwa na utaratibu wa kuwapima wananchi wanaokwenda kupata huduma za afya ili kujua endapo wana…

Soma Zaidi »

Mikoa 26 yavuka 100% chanjo ya polio

WIZARA ya Afya imesema mikoa 24 imetoa chanjo ya polio kwa zaidi ya asilimia 100. Taarifa ya Waziri wa wizara…

Soma Zaidi »
Back to top button