Afya

Famasia wengi ‘Jobless’ hawana kazi – Hezekiah

LICHA ya Tanzania kukabiliwa na uhaba wa watumishi wa Afya katika vituo vya kutoa huduma vya Afya nchini, imeelezwa kwua…

Soma Zaidi »

Wamiminika kupata matibabu ya kibingwa Haspitali Kanda ya Mtwara

WAGONJWA 300 wamepata matibabu ya kibingwa yaliyoanza kutolewa katika hospitali ya Kanda ya Kusini mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ambayo ujenzi…

Soma Zaidi »

WHO: Kila mtu anywe maziwa lita 200 kwa mwaka

JE, unajua kuwa unatakiwa unywe kiasi cha lita 200 za maziwa kwa mwaka? Wakati Shirika la Afya Duniani (WHO) likipendekeza…

Soma Zaidi »

Mikakati kukomesha ukatili yawekwa

MNAMO mwezi Juni na Julai ,2022 niliandika Habari na Makala zinazohusu ukatili kwa watoto nikiangazia zaidi shuleni. Makala na habari…

Soma Zaidi »

Mapendekezo 8 yatolewa kudhibiti saratani

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu, amesema ugonjwa wa saratani umekuwa tishio, ambapo kwa mwaka 2020  ulisababisha vifo vya watu zaidi …

Soma Zaidi »

Watoto 800 hugundulika na saratani kila mwaka

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu  amesema kila mwaka takriban watoto 800, hugundulika kuwa na ugonjwa wa saratani nchini Tanzania, hivyo…

Soma Zaidi »

Tanzania kupata bil 35/- kuokoa wajawazito

TANZANIA inatarajia kupokea msaada wa dola za Marekani milioni 15 (takribani Sh bilioni 34.9) kutoka Shirika la Kimarekani la Maendeleo…

Soma Zaidi »

Madaktari bingwa China kutoa huduma Mbeya

HOSPITALI ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH), imepokea madaktari bingwa wanne kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, ambao…

Soma Zaidi »

Sh Bil 34 kuwezesha usafiri kwa wajawazito

TANZANIA itapokea msaada wa Dola Milioni 15 (takribani shilingi Bilioni 34), kutoka Kampuni ya Vodafone, ili kuwezesha usafiri wa dharura…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa maagizo kuepuka ebola

SERIKALI imesema hapa Tanzania hakuna mgonjwa wa ebola na imetoa maagizo kwa waganga wakuu wa mikoa na halmashauri na wananchi…

Soma Zaidi »
Back to top button