Afya

Ni hatari kuzidisha vijiko 5 vya asali, sukari

JAMII imehimizwa kutumia asali au sukari vijiko visivyozidi vitano kwa siku ili kuepukana na uwezekano wa kupata magonjwa ya kisukari.…

Soma Zaidi »

Usugu wa dawa kumaliza watu

ULAYA : Utafiti unaonyesha zaidi ya watu milioni 39 wanaweza kupoteza maisha kutokana na usugu wa dawa za antibayotiki zinazotibu…

Soma Zaidi »

Upandikizaji mimba Tanzania umeanza

DAR-ES-SALAAM : MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Philip Mpango amewataka watanzania kuchangamkia fursa za kupata…

Soma Zaidi »

Serikali kuimarisha tiba bobezi – Mhagama

DAR-ES-SALAAM : WAZIRI wa Afya,Jenista Mhagama amesema serikali itaendelea kuimarisha tiba bobezi ili kuokoa maisha ya wananchi na kupunguza rufaa…

Soma Zaidi »

Watoto 30 wafanyiwa upasuaji wa moyo

DAR-ES-SALAAM : JUMLA ya watoto 30 wamefanyiwa upasuaji wa moyo kati ya watoto 50 waliofanyiwa uchunguzi  katika kambi ya siku…

Soma Zaidi »

Wataaamu wa afya kujengewa uwezo

DAR-ES-SALAAM : WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amesema Serikali itaendelea kutoa motisha na kuwajengea uwezo wataalam ili waweze kwenda sambamba…

Soma Zaidi »

Idara ya kinga mjipange usafi wa majiji

DODOMA : WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama ameitaka Idara ya Kinga Wizara ya Afya kuimarisha mpango mkakati wa kusimamia suala…

Soma Zaidi »

Sh millioni 200 kujenga zahanati Mirerani

SERIKALI imetoa Sh milioni 200 kwa ajili ya ujenzi wa zahanati mgodini Mirerani Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala…

Soma Zaidi »

Mageuzi yaja sekta ya afya

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali imekuwa ikitekeleza mikakati mbalimbali kuhakikisha huduma bora zinapatikana kwa watoto wachanga na mama wajawazito…

Soma Zaidi »

Chanjo ya mpox kuwasili Kongo

KONGO : SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo leo itapokea shehena ya kwanza ya dozi takribani 100,000 za chanjo…

Soma Zaidi »
Back to top button