Afya

Dk Mollel aonya matumizi ya P2

NAIBU Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel,amewataka wananchi kuepuka matumizi yasiyo sahihi ya vidonge vya kuzuia mimba maarufu kama P2…

Soma Zaidi »

TMDA yapata cheti umahiri katika utendaji

MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na masuala ya Ukimwi, Stanslaus Nyongo amesema Mamlaka ya Dawa na…

Soma Zaidi »

Zahanati yakabiliwa na uhaba wa wauguzi

ZAHANATI ya Shanwe inayohudumia zaidi wananchi 22,000 wa Kata ya Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi inakabiliwa na uhaba wa…

Soma Zaidi »

Madaktari wafutiwa leseni ukiukaji maadili

BARAZA la Madaktari Tanganyika (MCT) limewafungia leseni madaktari 16 na kufutia leseni watoa huduma wanne kwa kipindi cha mwaka 2023…

Soma Zaidi »

Mavunde akabidhi magari mawili Hospitali ya Benjamini Mkapa

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde leo amekabidhi magari mawili ya wagonjwa kwa uongozi wa Hospitali ya…

Soma Zaidi »

TIRA, NHIF wawafunda wabunge kuhusu bima

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) Wizara ya Afya na Mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) wametoa Semina kwa…

Soma Zaidi »

MOI kunufaisha wagonjwa wa vibiongo zaidi ya 50

DAR ES SALAAM: Zaidi ya Watanzania 50 wenye matatizo ya vibiongo wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji kupitia kambi ya matibabu na mafunzo…

Soma Zaidi »

Matibabu ya figo kushuka – Dk Mollel

DODOMA: SERIKALI imesema gharama za usafishaji damu kwa wagonjwa wa figo ‘Dialysis’ inaenda kushuka kwa mwaka wa fedha 2024/2025  …

Soma Zaidi »

Serikali yaonya matumizi ya dawa za macho kiholela

DAR ES SALAAM: WIZARA ya Afya nchini imetoa tahadhari kwa wananchi kuacha kutumia dawa kiholela hususani tiba mbadala baada ya…

Soma Zaidi »

Utoaji mimba unachangia 10% ya vifo

DODOMA: SERIKALI imesema utoaji mimba usio salama unachangia vifo vya wajawazito kwa asilimia 10. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa…

Soma Zaidi »
Back to top button