Afya

Mbogwe yazindua chanjo ya surua na rubella

GEITA: Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe imezindua chanjo ya Surua na Rubella ambayo itadumu kwa muda wa siku nne. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Waganga wafawidhi kupewa posho

SERIKALI imepanga kuanzia mwaka wa fedha 2024/2025 kuwalipa waganga wafawidhi wa vituo vya kutolea huduma za afya ngazi ya msingi…

Soma Zaidi »

Wadau Shinyanga watambulishwa PJT-MMMAM

WADAU mkoani Shinyanga wameelezwa kuitambua Programu Jumuishi ya Taifa ya Makuzi,Malezi na Maendeleo ya awali ya mtoto (PJT-MMMAM) kupitia nguzo…

Soma Zaidi »

‘Tumieni malighafi sahihi kulainisha vyakula’

DAR ES SALAAM: DAR ES SALAAM: Shirika la Viwango Tanzania (TBS), limetoa wito kwa jamii ya Watanzania kutumia malighafi zilizo…

Soma Zaidi »

Ukosefu zahanati unavyotesa kijiji, serikali yaingilia kati

“NIMEZALIWA katika Kijiji hiki cha Imbaseni miaka 74 iliyopita ,changamoto kubwa na ya muda wote ni huduma za afya na…

Soma Zaidi »

Wizara ya afya inafuata miongozo ya WHO-Ummy

WIZARA ya Afya imesema inafuata miongozo ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ambayo inasema afya ni ukamilifu wa binadamu kimwili,…

Soma Zaidi »

Serikali kupunguza uhaba watumishi wa afya

WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu amesema miongoni mwa vipaumbele vya Serikali ni kuajiri watumishi wa afya ili kupunguza changamoto za…

Soma Zaidi »

Vijana waathirika zaidi kifafa

CHAMA cha Wataalamu wa Kifafa Tanzania(TEA) kimesema kundi la vijana wenye wastani wa miaka 15 na kuendelea wanaongoza kupata ugonjwa…

Soma Zaidi »

Kutengeneza shepu ni kwa waliokoma kuzaa tu

DAR ES SALAAM: WANAWAKE wanaotaka kufanya upasuaji wa kuboresha maumbile yao ikiwemo kutolewa mafuta tumboni ‘Tummy Tuck’ na kuwekewa kwenye…

Soma Zaidi »

75% wagonjwa wa kifafa hukimbizwa kwa ‘sangoma’

MILA potofu ikiwemo mapepo wachafu, masuala ya kishirikina yanachangia asilimia 75 ya watu wenye kifafa kupelekwa kwa waganga wa kienyeji…

Soma Zaidi »
Back to top button