Afya

Mbunge apongeza uimarishwaji vifaa tiba Hospitali ya Rufaa Morogoro

MBUNGE wa Jimbo la Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood ameipongeza serikali kwa kuipatia Hospitali ya Rufaa ya Mkoa mashine ya CT-…

Soma Zaidi »

Biteko azindua Zahanati ya Bungoni

DAR ES SALAAM: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko Desemba 29, 2023 amezindua Zahanati ya Bungoni…

Soma Zaidi »

RC Mongella acharuka mochwari kugeuka stoo

ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella ametoa miezi miwili kwa Mganga Mfadhiwi wa Kituo cha Afya Karatu Dk,…

Soma Zaidi »

“Badili mtindo wa maisha, kula chakula bora”

DODOMA: WIZARA ya Afya, imewataka Watanzania kuazimia kulinda na kutunza afya zao hususani katika nyakati hizi za Sikukuu za mwisho…

Soma Zaidi »

Ukipikia dawa jiandae na magonjwa ya ini, figo, moyo

MTANDAO: WATUMIAJI wa dawa za maumivu katika mapishi hususani katika kulainishia kitoweo cha nyama, wapo hatarini kuugua magonjwa ya moyo,…

Soma Zaidi »

Ummy: Tunajikita katika huduma bora kwa watoto wachanga

TANGA: TAASISI ya Doris Mollel Foundation kwa kushirikiana na Msanii maarifu Barnaba  imetoa Vifaa Tiba kwa ajili ya kuanzisha Wodi…

Soma Zaidi »

Mashine ya Pet-CT Scan kuanza kutumika Ocean Road

DAR ES SALAAM: Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameitaka Taasisi ya Saratani Ocean Road hadi kufikia Februari Mosi, 2024 kuanza…

Soma Zaidi »

Msiingize vidole ukeni, mtapata saratani – Zuhura

DAR ES SALAAM: KUNAWA kwa kuingiza vidole sehemu za uke, kujifukiza na matumizi ya bidhaa mbali mbali ikiwemo asali kuwekwa…

Soma Zaidi »

TMDA yakamata dawa, vifaa tiba bandia

MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imefanya oparesheni maalum ya siku nne ya ukaguzi na msako wa bidhaa za…

Soma Zaidi »

Ummy awaita wadau sekta ya afya

DAR ES SALAAM: Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ametoa rai kwa wadau wa maendeleo kuunga mkono jitihada za Serikali kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button