Afya

Kamati ya kudumu ya Bunge Tamisemi yafunguka kituo cha afya Mtwara

MTWARA: Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imeishauri serikali kujenga nyumba za…

Soma Zaidi »

Kongamano la miaka 60 MUHAS laja kivingine

DAR ES SALAAM; CHUO Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeandaa Kongamano maalum la miaka 60 tangu kuanzishwa…

Soma Zaidi »

Ummy Mwalimu: Watu 32,000 huambukizwa VVU kwa mwaka

TANGA: Takwimu zinaonyesha kuwa takribani watu 32,000 hupata maambukizi mapya ya virusi vya ukimwi nchini huku vijana wenye umri wa…

Soma Zaidi »

TIRA yatoa maelekezo fidia katika majanga

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imewataka wananchi kutumia namba ya maajabu ya kuhakikisha gari analosafiria kama lina bima…

Soma Zaidi »

Madaktari 42 Tanzania waimarishwa utoaji huduma

MADAKTARI wa Tanzania 42 wamepatiwa mafunzo ya afya kwa lengo la kuimarisha uwezo wao wa kuwahudumia wagonjwa hususan waishio maeneo…

Soma Zaidi »

Dk Erick: Watengeneza makalio, shape tukutane Dec

DAR ES SALAAM: MKUU wa Idara ya Upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Mlonganzila Dk Erick Muhumba amesema huduma…

Soma Zaidi »

Maambuzi VVU yapungua 4%

KASI ya maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi imepungua kutoka asilimia 7 mwaka 2003 hadi kufikia asilimia 4.3 mwaka 2022.…

Soma Zaidi »

Mloganzila kupandikizaji nyonga, magoti bandia

HOSPITALI ya Taifa Muhimbili-Mloganzila itafanya kambi maalumu ya upasuaji wa kuweka nyonga na magoti bandia kwa wagonjwa wenye changamoto ya…

Soma Zaidi »

Dar es Salaam kujengwa hospitali ya Apollo

TANZANIA na Mtandao wa Hospitali za Apollo kutoka India zimeingia makubaliano ya kudumu ujenzi wa hospitali ya Apollo katika jiji…

Soma Zaidi »

Serikali: Daktari aliyefeli asiendelee na mafunzo

DODOMA; Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameliagiza Baraza la Madaktari nchini, lisiruhusu daktari aliyefeli mtihani wa utarajali kuendelea na mafunzo…

Soma Zaidi »
Back to top button