Fedha

Dk Mwinyi akutana na wawekezaji China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Hussein Ali Mwinyi ameendelea kuhimiza wawekezaji wa China kuangalia fursa…

Soma Zaidi »

TNBC yajivunia mafanikio Serikali ya Samia

BARAZA la Taifa la Biashara (TNBC) limesema Serikali ya Awamu ya Sita imeboresha mazingira ya kufanya biashara na uwekezaji.  …

Soma Zaidi »

Simu janja kuanza kutengenezwa Pwani

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema mkoa huo unajiandaa kuanza kutengeneza simu janja. Kunenge amesema hayo mjini Kibaha…

Soma Zaidi »

Leseni za biashara kutolewa kwa mfumo mmoja

SERIKALI inatarajia kuunganisha mfumo wa utoaji wa leseni za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela) na Mamlaka ya…

Soma Zaidi »

Wadau wateta ushiriki wa Watanzania miradi ya kimkakati

SERIKALI imesema hadi kufikia Desemba 2022 iliratibu programu 72 za uwezeshaji nchini zilizotoa mikopo yenye riba nafuu yenye thamani ya…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara washukuru kuondolewa vikwazo mpakani

KAMPUNI ya Waandaaji wa maonesho ya Biashara, Kilimo, Uwekezaji na Utalii ya Afrika Mashariki (EAC EXPO), wameishukuru serikali mkoani Kagera…

Soma Zaidi »

Serikali yataja mambo matano kusimamia bajeti

SERIKALI imetangaza mambo matano inayozingatia kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa mipango na bajeti zinazopitishwa. Naibu Waziri wa Fedha na Mipango,…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara madini kutembelea China

WAFANYABIASHARA wadogo na wa kati wa madini nchini Tanzania wanatarajia kufanya ziara nchini China Julai 2023, kwa lengo la kutafuta…

Soma Zaidi »

‘ChaWote’ kuwajaza wateja mapesa

Kampuni ya huduma za mawasiliano Tigo imezindua kampeni mpya inayojulikana kama ‘ChaWote’ itakayowawezesha watumiaji wa mtandao huo kujishidia zawadi mbalimbali…

Soma Zaidi »

‘Benki punguzeni riba watu wakope’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa amezitaka benki mbalimbali nchini kupunguza riba, ili kutoa fursa kwa wateja kukopa na…

Soma Zaidi »
Back to top button