KAMPUNI ya Japan Tobacco Incorporation (JTI), imeahidi kununua kilo milioni 30 za tumbaku kutoka kwa wakulima wa Tanzania msimu ujao…
Soma Zaidi »Fedha
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), wamekutana na kamati ya Kitaifa ya uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Prof.Makenya Maboko jijini Dodoma…
Soma Zaidi »MAMLAKA ya Usimaizi Bandari nchini (TPA), imesema iko katika maandalizi ya ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo, itakayosaidia utoaji wa huduma…
Soma Zaidi »SERIKALI imeahidi kuendeleza, kuibua, kutambua, kukuza na kuendeleza ubunifu unaofanywa na wahandisi wazawa kwa maendeleo endelevu ya Taifa. Waziri wa…
Soma Zaidi »“MAONESHO ya kimataifa ya Afrika Mashariki ni muhimu sana kwa ajili ya sekta ya viwanda, lakini zaidi tunafurahi kwamba maonesho…
Soma Zaidi »SERIKALI imesema mazao kutoka Tanzania, yamekuwa yakiuzwa kwenye soko la kimataifa, ikiwemo Nchi za Jumuiya ya Ulaya pasipo mashaka yoyote…
Soma Zaidi »WANANCHI wametakiwa kujengea utamaduni wa kujiwekea akiba ya fedha, ili ziweze kuwasaidia kwa maisha ya baadae. Mwezeshaji kutoka Taasisi ya…
Soma Zaidi »BAADHI ya wafugaji wa kuku katika Mkoa wa Dar es Salaam na Pwani, wameacha kufuga kuku kutokana na hasara waliyoipata…
Soma Zaidi »ZAIDI ya Taasisi 50 zinatarajiwa kushiriki Kongamano la Biashara la Kimataifa lililoandaliwa na Jukwaa lijulikanalo kama ‘China Trade Week’ (CTW)…
Soma Zaidi »BENKI ya CRDB Kanda ya Kusini, imewashauri wakulima wa zao la korosho mkoa wa Mtwara kutumia tembo card, wakati wa…
Soma Zaidi »









