Fedha

Kinana ataka utoaji leseni za biashara uangaliwe

SERIKALI imetakiwa kutafakari upya utoaji wa leseni za biashara hasa kwa watu ambao wanaanza biashara. Wito huo umetolewa na Makamu…

Soma Zaidi »

Chalamila aibua rushwa mpya vizuizi Kagera

UTITIRI wa vizuizi vya ukaguzi  (beria), imeelezwa ni chanzo kikuu cha rushwa mkoani Kagera, ambapo mtumishi mmoja ndani ya saa…

Soma Zaidi »

Serikali yafanyia kazi kilio cha tozo

SERIKALI imesema hoja za wananchi kuhusu wingi wa tozo za kielektroniki zina mantiki hivyo inazifanyia kazi. Waziri wa Fedha na…

Soma Zaidi »

Mwigulu: Sina biashara hata ya Bajaji

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Mwigulu Nchemba, amesema hamiliki mabasi ya abiria, wala hana biashara hata ya Bajaji. Ametoa…

Soma Zaidi »

Mwigulu aeleza umuhimu wa tozo

WABUNGE nchini waliamua kupitisha tozo mbalimbali, ili zisaidie miradi mikubwa ya kimkakati iliyopo nchini. Kauli hiyo imetolewa muda mfupi uliopita…

Soma Zaidi »

Serikali kutoa ufafanuzi tozo za miamala ya simu, benki

WIZARA ya Fedha imesema itatolea ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki hapo kesho Septemba Mosi ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Bandari Bukoba wapewa wiki moja kubadilika

MKUU wa mkoa wa Kagera, Albert Chalamila ametoa muda wa wiki moja kwa maofisa wa vitengo vinavyosimamia bandari ya Bukoba…

Soma Zaidi »

ATM ya kwanza ya kubadili fedha yazinduliwa uwanja wa KIA

BENKI ya NMB Jumatatu imezindua mashine ya kutolea fedha (ATM) ya kwanza katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Kilimanjaro (KIA)…

Soma Zaidi »

Japan kutoa tril 70/- za miradi, mazingira Afrika

SERIKALI ya Japan imeahidi kutoa dola za Marekani bilioni 30 (sawa na Ths 69.9 za Tanzania ) kuziwezesha nchi za…

Soma Zaidi »

Tanzanite City mbioni kujengwa Mirerani

SERIKALI iko katika mpango wa kujenga Kituo cha Tanzanite City, kitakachojengwa Mji wa Mirerani, wilayani Simanjiro, mkoani Manyara,  lengo ikiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button