Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mafundi 1000 kupatiwa elimu ya upauaji

Mafundi 1000 kupatiwa elimu ya upauaji

MAFUNDI zaidi ya 1000 nchini, watapatiwa elimu kuhusu masuala ya upauaji wa nyumba. Hayo yamesemwa leo na Meneja wa Kampuni…
Serikali yaja na maabara inayotembea kupima Ebola

Serikali yaja na maabara inayotembea kupima Ebola

KATIKA Kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa  Ebola nchini, serikali imeweka maabara tembezi ya kupima virusi vya ugonjwa huo ambayo imefungwa…
DC Jokate awataka wananchi kuondoka vijiweni

DC Jokate awataka wananchi kuondoka vijiweni

MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amewataka wananchi anaowaongoza kuondokana vijiweni na kuchangamkia fursa za ajira. Jokate ameyasema hayo…
Matajiri wa Misri wajadili fursa za uwekezaji Tanzania

Matajiri wa Misri wajadili fursa za uwekezaji Tanzania

JUMLA ya kampuni  34 kutoka Misri zimeshiriki Mkutano wa Kibiashara jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutafuta fursa za…
Tanzania kukopeshwa bil 979/- za miradi

Tanzania kukopeshwa bil 979/- za miradi

MFUKO wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, umeahidi kutoa mkopo nafuu kwa ajili ya utekelezaji…
HABARI KUU: Septemba 29, 2022

HABARI KUU: Septemba 29, 2022

Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Septemba 29, 2022
Tanzania njia nyeupe mabadiliko endelevu ya kidijitali

Tanzania njia nyeupe mabadiliko endelevu ya kidijitali

Tanzania inatekeleza mfumo wa Taifa wa Uchumi wa Kidijitali ambao utahakikisha sekta zote za uchumi zinatumia Teknolojia ya Habari na…
‘Royal Tour’ yazinduliwa Sweden  

‘Royal Tour’ yazinduliwa Sweden  

Serikali ya Tanzania kupitia ubalozi wake uliopo Sweden imezindua filamu ya Royal Tour jijini Stockholm kwa lengo la kuwavutia watalii kutembelea vivutio mbalimbali…
Watanzania 900 wapata ajira Saudi Arabia

Watanzania 900 wapata ajira Saudi Arabia

BALOZI wa Tanzania nchini Saudi Arabia, Ali Jabir Mwadini amesema zaidi ya Watanzania 900 mwaka huu wamepata fursa ya kwenda…
Majaliwa: Diaspora tangazeni fursa za Tanzania

Majaliwa: Diaspora tangazeni fursa za Tanzania

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wana-diaspora wawe mabalozi wa kuitangaza Tanzania kokote waliko na wawe tayari kuainisha fursa zilizopo nchini.…
Back to top button