Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Vijana wafundwa uboreshaji wa bidhaa

Vijana wafundwa uboreshaji wa bidhaa

VIJANA wabunifu wameagizwa kutengeneza bidhaa zenye mahitaji sokoni ili kuwa na ubora zaidi utakaowawezesha kupata masoko na kujiajiri Agizo hilo…
Sh milioni 200 zatengwa majukwaa ya wanawake

Sh milioni 200 zatengwa majukwaa ya wanawake

KWA mwaka 2023/24, Serikali imetenga Sh milioni 200 kwa ajili ya kugharamia majukwa ya wananake. Haya yameelezwa jijini Dodoma na…
Ziara Makamu wa Rais Marekani yaleta neema

Ziara Makamu wa Rais Marekani yaleta neema

SERIKALI ya Marekani imeahidi kujenga kiwanda  kikubwa nchini Tanzania cha kuchakata madini aina ya nickel yatakayotumika kutengeneza betri za gari…
CAG abaini mikopo ya Sh Bil 88 haikukusanywa

CAG abaini mikopo ya Sh Bil 88 haikukusanywa

MAMLAKA za Serikali za Mitaa hazikuweza kukusanya mikopo iliyotolewa kwenye vikundi vya Wanawake, Vijana, na Watu wenye Ulemavu, yenye jumla…
Bei za petroli, dizeli zapungua

Bei za petroli, dizeli zapungua

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kupungua bei za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta…
China tayari kuboresha miundombinu ya Tazara

China tayari kuboresha miundombinu ya Tazara

SERIKALI ya China imesema ipo tayari kuboresha miundombinu ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) iwe na tija zaidi. Naibu…
TRC yajivunia kujenga reli ya kisasa ndefu Afrika

TRC yajivunia kujenga reli ya kisasa ndefu Afrika

MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika inayojenga reli ya…
Wafanyabiashara Soko la Mbagala Rangi Tatu walalama

Wafanyabiashara Soko la Mbagala Rangi Tatu walalama

BAADHI ya wafanyabiashara wa Soko la Mbagala Rangi Tatu lililoko jijini Dar es Salaam wameiomba serikali kuingilia kati mgogoro unaoendelea…
Wasafirishaji: Muda wa ndege uzingatiwe kuhimili ushindani

Wasafirishaji: Muda wa ndege uzingatiwe kuhimili ushindani

WASAFIRISHAJI wa bidhaa za Tanzania nje ya nchi wameomba waendeshaji wa ndege ijayo ya mizigo kuzingatia muda, ili waweze kumudu…
TEF yapongeza uwekezaji PSSSF

TEF yapongeza uwekezaji PSSSF

JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limeeleza ya kwamba nchi zilizoendelea, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii imekuwa chanzo kikubwa cha kukuza…
Back to top button