Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wamiliki hoteli wapewa neno AFCON 2027

Wamiliki hoteli wapewa neno AFCON 2027

ARUSHA: Wamiliki wa hoteli nchini wametakiwa kujipanga na kuboresha huduma zao ikiwemo miundombinu ya malazi,kuelekea AFCON 2027 ambapo inakadiriwa Tanzania…
Makamishna wapya waahidi kusimamia ushindani wa haki sokoni

Makamishna wapya waahidi kusimamia ushindani wa haki sokoni

KILIMANJARO: Mamlaka ya Ushindani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EACCA) zimekutana Mjini Moshi mkoani Kilimanjaro leo Aprili 23, 2026 na…
Kapinga atoa mwelekeo mpya sekta ya huduma na biashara

Kapinga atoa mwelekeo mpya sekta ya huduma na biashara

DAR ES SALAAM: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametoa mwelekeo mpya unaolenga kuibadilisha sekta ya biashara na huduma…
Equity yafungua tawi Ubungo kuwakutanisha wafanyabiashara

Equity yafungua tawi Ubungo kuwakutanisha wafanyabiashara

DAR ES SALAAM: Benki ya Equity imezindua tawi jipya katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, ndani ya jengo…
Prof. Mkumbo ataja mambo 6 kufikia Dira 2050

Prof. Mkumbo ataja mambo 6 kufikia Dira 2050

DODOMA:WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Prof Kitila Mkumbo, ameweka wazi mambo sita ya msingi ambayo…
Serikali kuondoa vikwazo uanzishaji biashara

Serikali kuondoa vikwazo uanzishaji biashara

DODOMA: serikali imelenga kuondoa vikwazo vinavyokwamisha uanzishwaji na uendeshaji wa biashara kwa kufanya mapitio ya sheria na kanuni ambazo sio…
Ubomoaji Kikwajuni waanza kupisha mradi wa Infinity Hills

Ubomoaji Kikwajuni waanza kupisha mradi wa Infinity Hills

Zanzibar: Ubomoaji umeanza katika eneo la Kikwajuni lililotengwa kwa ajili ya mradi wa matumizi mchanganyiko wa Infinity Hills, ikiwa ni…
Sekta za fedha zapongezwa kuwawezesha wanawake kiuchumi

Sekta za fedha zapongezwa kuwawezesha wanawake kiuchumi

WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ameipongeza Benki ya  CRDB kwa mchango wake mkubwa katika kuwainua wajasiriamali nchini kupitia…
Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda

Wafanyabiashara Simu 2000 wapangiwa maeneo ya muda

DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wafanyabiashara wa soko la Simu 2000…
Dar kitovu cha mafuta, bei hutegemea soko la dunia

Dar kitovu cha mafuta, bei hutegemea soko la dunia

DAR ES SALAAM — Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema mkoa huo ni kitovu kikuu cha…
Back to top button