Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
HABARI KUU: Oktoba 5, 2022
October 5, 2022
HABARI KUU: Oktoba 5, 2022
Mkusanyiko wa Habari Kuu kutoka chumba cha HabariLEO jijini Dar es Salaam leo Oktoba 5, 2022 jioni.
Majaliwa: Njooni muwekeze sekta ya utalii
October 5, 2022
Majaliwa: Njooni muwekeze sekta ya utalii
WAZIRI Mkuu, Kassimu Majaliwa amewashauri wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwenye sekta ya utalii, kwa sababu ya amani na utulivu na…
TPDC waanza utekelezaji bomba la gesi Mtwara
October 5, 2022
TPDC waanza utekelezaji bomba la gesi Mtwara
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kutekeleza hatua za kuanza ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asilia, lenye…
Waaswa kukomesha migogoro wachimbaji wadogo, wawekezaji
October 4, 2022
Waaswa kukomesha migogoro wachimbaji wadogo, wawekezaji
WAZIRI wa Madini, Dk Doto Biteko, amewaasa wanajiolojia kuacha tabia ya kuleta migogoro, baina ya wawekezaji na wachimbaji wadogo wa…
Makusanyo ya kodi Geita yaimarika
October 4, 2022
Makusanyo ya kodi Geita yaimarika
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) mkoani Geita, imesema makusanyo ya kodi mkoani hapa yameimarika kwa asilimia 67.53 kwa robo ya…
Wakabidhiwa vyerehani Katavi
October 4, 2022
Wakabidhiwa vyerehani Katavi
HALMASHAURI ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, imekabidhi vyerehani vinne kwa kikundi cha vijana cha Umoja wa Mafundi Nguo kutoka…
Mafundi 1000 kupatiwa elimu ya upauaji
October 3, 2022
Mafundi 1000 kupatiwa elimu ya upauaji
MAFUNDI zaidi ya 1000 nchini, watapatiwa elimu kuhusu masuala ya upauaji wa nyumba. Hayo yamesemwa leo na Meneja wa Kampuni…
Serikali yaja na maabara inayotembea kupima Ebola
October 1, 2022
Serikali yaja na maabara inayotembea kupima Ebola
KATIKA Kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini, serikali imeweka maabara tembezi ya kupima virusi vya ugonjwa huo ambayo imefungwa…
DC Jokate awataka wananchi kuondoka vijiweni
October 1, 2022
DC Jokate awataka wananchi kuondoka vijiweni
MKUU wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amewataka wananchi anaowaongoza kuondokana vijiweni na kuchangamkia fursa za ajira. Jokate ameyasema hayo…
Matajiri wa Misri wajadili fursa za uwekezaji Tanzania
October 1, 2022
Matajiri wa Misri wajadili fursa za uwekezaji Tanzania
JUMLA ya kampuni 34 kutoka Misri zimeshiriki Mkutano wa Kibiashara jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutafuta fursa za…