Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Runali waanza kugawa magunia tayari kwa msimu wa korosho
September 21, 2022
Runali waanza kugawa magunia tayari kwa msimu wa korosho
CHAMA Kikuu cha Ushirika cha Mkoa wa Lindi cha Runali kinachohudumia wilaya za Ruangwa, Nachingwea na Liwale jana kimeanza kugawa…
Waomba ujenzi wa barabara ya lami mpakani na Msumbiji
September 21, 2022
Waomba ujenzi wa barabara ya lami mpakani na Msumbiji
WANANCHI wa vijiji vinavyopitiwa na Barabara ya Likuyufusi –Mkenda na nchi jirani ya Msumbiji kwa upande wa Mkoa wa Ruvuma,…
Ujenzi miundombinu kuvutia wawekezaji
September 21, 2022
Ujenzi miundombinu kuvutia wawekezaji
MKAKATI wa serikali ni kuhakikisha inajenga miundombinu wezeshi ili kuvutia wawekezaji katika maeneo mbalimbali nchini, bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa…
Wabunge, wasomi waipa ‘tano’ serikali kufuta tozo
September 21, 2022
Wabunge, wasomi waipa ‘tano’ serikali kufuta tozo
SERIKALI imepongezwa kwa kusikiliza kilio cha wananchi na kupunguza baadhi ya tozo za miamala ya kielektroniki kuanzia Oktoba Mosi, mwaka…
Mkurabita yaanza kurasimisha biashara ya bodaboda
September 21, 2022
Mkurabita yaanza kurasimisha biashara ya bodaboda
MRATIBU wa Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Dk Seraphia Mgembe amesema mwaka huu wamerasimisha biashara…
TRA: Mfumo wa stempu umeimarisha ukusanyaji kodi
September 21, 2022
TRA: Mfumo wa stempu umeimarisha ukusanyaji kodi
MFUMO wa Stempu wa Kielektroniki (ETS) ulioanzishwa miaka mitatu iliyopita umeimarisha ulipaji wa kodi na hivyo kuimarisha ushindani wa haki…
BancABC Tanzania yaanzisha akaunti za amana
September 21, 2022
BancABC Tanzania yaanzisha akaunti za amana
BENKI ya BancABC Tanzania ambayo ni kampuni tanzu ya Atlas Mara imezindua kampeni maalumu inayolenga kuwanufaisha wateja wanaofungua akaunti za…
SMZ yataja umuhimu sera ya nchi uchumi wa buluu
September 21, 2022
SMZ yataja umuhimu sera ya nchi uchumi wa buluu
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema sera ya pamoja ya Tanzania bara na Zanzibar ni muhimu katika kuzitumia fursa za…
Mchanganuo tozo zilizofutwa, zilizopunguzwa
September 20, 2022
Mchanganuo tozo zilizofutwa, zilizopunguzwa
SERIKALI imetangaza marekebisho katika tozo za miamala ya kielektroniki kutoka benki Kwenda kwenye simu na mawakala wa benki na ATM.…
Baada ya tozo Mwigulu atoa maelekezo mapya
September 20, 2022
Baada ya tozo Mwigulu atoa maelekezo mapya
MLIPAJI Mkuu wa Serikali ametakiwa kukaa na maofisa masuuli wote kuangalia upya mafungu ya matumizi mengineyo ili miradi ya maendeleo…