Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Neema yawashukia wakulima wadogo

Neema yawashukia wakulima wadogo

WAKULIMA wadogo wametangaziwa neema, baada ya Shirika la Private Agricultural Sector Support Trust (PASS) na benki ya Finca Microfinance kusaini mkataba wa…
Dk Ashatu ataka kasi ya utendaji Wizara ya Viwanda

Dk Ashatu ataka kasi ya utendaji Wizara ya Viwanda

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amewataka Wakurugenzi wa Idara na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya…
Tutuba Gavana mpya BOT

Tutuba Gavana mpya BOT

RAIS  Samia Suluhu Hassan amemteua Emmanuel Tutuba  kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT). Awali Tutuba alikua Katibu Mkuu…
Wajadili changamoto na huduma kwa wafanyabiashara

Wajadili changamoto na huduma kwa wafanyabiashara

WAKUU wa taasisi mbalimbali za serikali nchini pamoja na za  Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, leo Januari 6, 2023 wamekutana…
Mauzo ya nyama nje yaongezeka

Mauzo ya nyama nje yaongezeka

MAUZO ya nyama nje ya nchi kwa kipindi cha Julai hadi Desemba 15 mwaka jana yalifikia tani 5,158.93 sawa na…
EABC yateua Watanzania 3 ubalozi

EABC yateua Watanzania 3 ubalozi

BARAZA La Biashara Afrika Mashariki (EABC), limewateua Watanzania watatu kuwa mabalozi wa baraza hilo nchini. Kwa mujibu wa taarifa kutoka…
Watakiwa kutumia fursa kituo cha utafiti ufugaji samaki

Watakiwa kutumia fursa kituo cha utafiti ufugaji samaki

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amewataka wananchi wa Kijiji cha Rubafu, Wilaya ya Bukoba kutumia fursa ya ujenzi…
RC Kagera ataka mabadiliko ya kilimo mwaka 2023

RC Kagera ataka mabadiliko ya kilimo mwaka 2023

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amedhamiria kuanza mwaka 2023 kwa kuhakikisha wakazi wa Kagera wanainuka kiuchumi kupitia kilimo…
TRA yakusanya Sh tril.12.4 nusu mwaka

TRA yakusanya Sh tril.12.4 nusu mwaka

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imeeleza kuwa katika kipindi cha nusu ya kwanza ya Mwaka wa Fedha 2022/23 kuanzia mwezi…
Back to top button