Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mwigulu aipongeza MHB mtandao wake ukiwafikia wajasiriamali, miundombinu

Mwigulu aipongeza MHB mtandao wake ukiwafikia wajasiriamali, miundombinu

WAZIRI wa Fedha Dk Mwigulu Nchemba ameipongeza Benki ya Mwanga Hakika (MHB) kwa kuendelea kutanua mtandao wake ambao hadi sasa…
Majaliwa: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

Majaliwa: Anzisheni majukwaa ya kiuchumi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi, ambazo Tanzania inaweza…
Kiwanda cha kisasa mazao ya mifugo kujengwa Z’bar

Kiwanda cha kisasa mazao ya mifugo kujengwa Z’bar

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), inatarajia kujenga kiwanda chenye teknolojia za kisasa kwa àjili ya  kuchakata mazao ya mifugo,…
Wakulima Songwe waanza kunufaika na mgao wa mbolea

Wakulima Songwe waanza kunufaika na mgao wa mbolea

Wakulima Wilayani Songwe wameanza kunufuaika na upatikanaji wa mbolea ya ruzuku ambapo Kata za Gua, Kapalala, Ngwala, Saza na Mkwajuni…
TRA Kariakoo yatoa elimu kuhusu kudai risiti

TRA Kariakoo yatoa elimu kuhusu kudai risiti

MENEJA wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Mkoa wa Kikodi Kariakoo, Alex Katundu, amezindua kampeni ya Twende Nao Tukawaelimishe, yenye…
ZRB yavuka malengo ukusanyaji wa mapato

ZRB yavuka malengo ukusanyaji wa mapato

Bodi ya Mapato ya Zanzibar (ZRB) imevuka malego yake ya ukusanyaji wa mapato kwa mwaka huu wa fedha kuanzia Julai…
Treni kuchukua mizigo Bandari ya Tanga

Treni kuchukua mizigo Bandari ya Tanga

TRENI ya mizigo ya shirika la Reli nchini (TRC), imeanza kuingia Bandari ya Tanga kwa ajili ya kubeba mizigo. Hatua…
Yaliyompaisha Samia 2022

Yaliyompaisha Samia 2022

RAIS Samia Suluhu Hassan ametekeleza kwa vitendo falsafa yake ya Kazi Iendelee katika kipindi cha mwaka huu kwa kuhakikisha miradi…
Uboreshaji Bandari Tanga kukamilika 2023

Uboreshaji Bandari Tanga kukamilika 2023

UTEKELEZAJI wa mradi wa kuboresha Bandari ya Tanga unatarajia kukamilika Aprili mwaka 2023. Meneja wa bandari hiyo, Masoud Mrisha amesema…
Mizani ya kidigitali suluhisho ununuzi wa pamba

Mizani ya kidigitali suluhisho ununuzi wa pamba

TUME ya Maendeleo ya Ushirika Nchini (TCDC), imeazimia kuanza kutumia mizani ya kidigitali katika ununuzi wa zao la pamba, ili…
Back to top button