Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Utashi kisiasa utachagiza ukuaji wa uchumi Tanzania, Namibia

Utashi kisiasa utachagiza ukuaji wa uchumi Tanzania, Namibia

TANZANIA juzi imempokea Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah aliyefika nchini kwa ziara ya kikazi kwa mara ya kwanza tangu achaguliwe…
Rais wa Namibia ataja maeneo ya ushirikiano kimkakati

Rais wa Namibia ataja maeneo ya ushirikiano kimkakati

RAIS wa Namibia, Nemtumbo Nandi-Ndaitwah ametaja maeneo ya kimkakati ya ushirikiano kati ya nchi hiyo na Tanzania ili kukuza uchumi…
Majaliwa atoa maagizo sekta ya nyuki ikuze uchumi

Majaliwa atoa maagizo sekta ya nyuki ikuze uchumi

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa maagizo manane ili kukuza sekta ya nyuki. Majaliwa ametoa maagizo hayo Dodoma wakati wa kilele…
Tanzania, Nambia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

Tanzania, Nambia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

TANZANIA na Namibia zimekubaliana kuongeza nguvu katika ushirikiano wa kiuchumi. Rais Samia Suluhu Hassan amesema ingawa ushirikiano katika maeneo mengine…
Nafasi ya kilimo cha chai katika uchumi Tanzania

Nafasi ya kilimo cha chai katika uchumi Tanzania

TANZANIA ni nchi ya pili kwa uzalishaji zao la chai Afrika ikitanguliwa na Kenya. Sekta ya chai ina wakulima wadogo…
Tuzo ya TRA ni fursa kwa wabunifu inayolenga suluhisho la kodi

Tuzo ya TRA ni fursa kwa wabunifu inayolenga suluhisho la kodi

“MTU yeyote anayetoa taarifa sahihi kuhusu mkwepaji wa kodi atazawadiwa kati ya Sh milioni 1 hadi 20. Hii inakuwa fursa…
Serikali kupitia upya sheria, mikataba ya uwekezaji

Serikali kupitia upya sheria, mikataba ya uwekezaji

SERIKALI imeanza kupitia kwa kina mikataba ya uwekezaji baina ya nchi mbili (BITs) na sheria zinazohusiana, ikiwa ni hatua ya…
Wakulima wa pamba ‘wanavyolia’ bei kupata tija

Wakulima wa pamba ‘wanavyolia’ bei kupata tija

“HATA kama itatokea bei elekezi ya kununua zao la pamba kwa kilo moja itangazwe kuwa itanunuliwa kwa Sh 3,000, kama…
Kilimo himilivu; suluhu mabadiliko ya tabianchi

Kilimo himilivu; suluhu mabadiliko ya tabianchi

MABADILIKO ya tabianchi yamekuwa na athari kubwa kwa uzalishaji wa kilimo katika Mkoa wa Songwe, hususani  kwa wakulima wadogo wanaotegemea…
Mpango aagiza mambo matano mageuzi benki

Mpango aagiza mambo matano mageuzi benki

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amesema sekta ya benki nchini inakabiliwa na mageuzi ya haraka ya teknolojia, ushindani wa…
Back to top button