Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania yavutia wadau maonyesho Qatar 2025

Tanzania yavutia wadau maonyesho Qatar 2025

QATAR: TANZANIA imevutia wadau wengi wa biashara katika maonyesho ya Project Qatar 2025, yaliyoanza Mei 26 yanayotarajiwa kumalizika Mei 29,…
Kagera wapania kuinua uzalishaji kahawa

Kagera wapania kuinua uzalishaji kahawa

MKOA wa Kagera ni miongoni mwa maeneo yenye historia ndefu ya kilimo cha kahawa, zao ambalo kwa sasa linaendelea kuchangia…
Kiwanda chachochea ujasiriamali mazao kwa vijana, wanawake

Kiwanda chachochea ujasiriamali mazao kwa vijana, wanawake

Julai 31, 2023 Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango alizindua Kiwanda cha kwanza cha kusindika matunda na mbogamboga kinachofahamika kwa…
Vijana wajizatiti kilimo biashara cha alizeti

Vijana wajizatiti kilimo biashara cha alizeti

KILIMO cha biashara ni nguzo muhimu ya maendeleo ya kiuchumi kwa wakulima na taifa kwa ujumla. Hata hivyo, kilimo hicho…
Tanzania, Japan kukuza biashara, uwekezaji

Tanzania, Japan kukuza biashara, uwekezaji

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuwaunganisha wafanyabiashara wa Tanzania na  wale wa mataifa mengine, ikiwemo Japan ili kunufaika…
Mchengerwa aagiza wamachinga wawe kipaumbele masoko mapya

Mchengerwa aagiza wamachinga wawe kipaumbele masoko mapya

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ameagiza wamachinga kote nchini…
Tanzania yazidi kuwavutia wawekezaji kimataifa

Tanzania yazidi kuwavutia wawekezaji kimataifa

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua na kuimarika katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na…
Soko la nyama choma neema ajira 232

Soko la nyama choma neema ajira 232

HALMASHAURI ya Jiji la Dar es Salaam imesema Soko la Nyama Choma Vingunguti litatoa ajira 232, zikiwemo 15 za kudumu.…
Wadau watakiwa kubuni mifumo jumuishi kifedha fursa dhahabu

Wadau watakiwa kubuni mifumo jumuishi kifedha fursa dhahabu

DAR ES SALAAM: WADAU wa sekta ya madini nchini wametakiwa kubuni na kutekeleza mifumo jumuishi ya kifedha itakayowezesha kufungua fursa…
Waziri Mkuu awasili Japan

Waziri Mkuu awasili Japan

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 23, 2025 amewasili Osaka nchini Japan kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye maonesho ya…
Back to top button