Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

‘Elimu ya kodi imenisaidia kutambua vishoka TRA’

‘Elimu ya kodi imenisaidia kutambua vishoka TRA’

MFANYABIASHARA wa madini katika machimbo ya Matabi, Wilaya ya Chato mkoani Geita, Marik Ngutti amesema elimu ya kodi imemsaidia kuwatambua…
Wakala wa ukadiriaji wakaa mstari wa mbele

Wakala wa ukadiriaji wakaa mstari wa mbele

Ukadiriaji huo unatumika kama mwanga wa uwazi, kusaidia wawekezaji kufanya uamuzi sahihi na kuhimiza kampuni kujitahidi kuboresha kila wakati.
‘Marufuku wanunuzi pamba kuanzisha vituo binafsi’

‘Marufuku wanunuzi pamba kuanzisha vituo binafsi’

BARIADI, Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu Simion Simalenga amesema katika msimu wa ununuzi wa zao la pamba…
TCB yaanza mwaka vizuri

TCB yaanza mwaka vizuri

DAR ES SALAAM :BENKI ya Biashara Tanzania (TCB),  imesema itaendelea kutoa huduma bora kwa wananchi, ikiwa ni pamoja na kuwekeza…
Mkazi wa Singida ashinda Sh milioni 140

Mkazi wa Singida ashinda Sh milioni 140

DAR ES SALAAM; Shabiki wa klabu ya Simba na Arsenal, Yahaya Bakari ameshinda Sh 140,503,890 baada ya kubashiri kwa usahihi…
ICRA yatoa neno kwa MFIs

ICRA yatoa neno kwa MFIs

DAR ES SALAAM; WAKALA wa Ukadiriaji (ICRA), imesema ukadiriaji wa mikopo ni muhimu kwa taasisi ndogo za fedha (MFIs) zinazolenga…
Chalamila aongoza kikao baraza la biashara DSM

Chalamila aongoza kikao baraza la biashara DSM

DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameongoza baraza la biashara Mkoa wa Dar es…
Seti ya kwanza treni ya umeme yawasili Dar

Seti ya kwanza treni ya umeme yawasili Dar

DAR ES SALAAM; SERIKALI imepokea seti ya kwanza ya treni ya umeme ya ‘Electric multiple unit’ (EMU) yenye vichwa vitano…
Serikali yaahidi raha wazalishaji wa ndani

Serikali yaahidi raha wazalishaji wa ndani

DAR ES SALAAM; SERIKALI imesema itaendelea kuwalea wazalishaji wawekezaji na wazalishaji wa ndani ya nchi, ili waweze kukuza mitaji yao…
ICRA yajivunia kutambulika na BoT

ICRA yajivunia kutambulika na BoT

DAR ES SALAAM; WAKALA wa Ukadiriaji (ICRA), imesema inajivunia kuidhinishwa kwake kama wakala wa kwanza wa kutathmini mikopo Afrika Mashariki…
Back to top button