Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali yatoa siri kuvutia wawekezaji

Serikali yatoa siri kuvutia wawekezaji

DAR ES SALAAM: SERIKALI imefanya maboresho 605 ya kisera, kisheria, kikanuni katika kipindi cha miaka mitano iliyopita 2019 hadi 2023…
“Soko lipo miundombinu umeme”

“Soko lipo miundombinu umeme”

SERIKALI imekiambia kiwanda cha kuzalisha nyaya za umeme pamoja na transfoma cha Elsewedy kuwa soko lipo la kutosha nchini, na…
Rais Mwinyi aondoa kodi kwenye sukari

Rais Mwinyi aondoa kodi kwenye sukari

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi ameondoa msamaha wa kodi ya ongezeko la…
Katavi wapokea tani 30 za sukari nyingine 214 kuwasili

Katavi wapokea tani 30 za sukari nyingine 214 kuwasili

MPANDA, Katavi: MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf amewataka wafanyabiashara mkoani Katavi kuzingatia bei elekezi ya sukari Sh 3200…
Biashara ya mbaazi Tanzania, India mambo safi

Biashara ya mbaazi Tanzania, India mambo safi

NEW DELHI, India: TANZANIA imeruhusiwa kuiuzia India kiasi cha mbaazi inachoweza kuanzia sasa hadi Machi 2025. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Februari…
Silinde: Watafiti wa kilimo ongezeni kasi

Silinde: Watafiti wa kilimo ongezeni kasi

MOROGORO: WATAFITI wa kilimo nchini wametakiwa kuongeza kasi katika kufanya tafiti za kilimo kwa kuwa upo uhitaji wa upatikanaji wa…
TCCIA yakagua miradi Mtwara

TCCIA yakagua miradi Mtwara

RAIS wa Chemba ya Wafanyabiashara,Viwanda na Kilimo (TCCIA) Vicent Bruno amefanya ziara ya kutembelea baadhi ya miradi ya kimkakati iliyopo…
TIC, CRDB kushirikiana kuongeza miradi

TIC, CRDB kushirikiana kuongeza miradi

DAR ES SALAAM: Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kimesaini mkataba wa makubaliano na Benki ya CRDB lengo likiwa ni kuongeza…
Rais Samia kubariki Jukwaa la kodi na uwekezaji

Rais Samia kubariki Jukwaa la kodi na uwekezaji

ARUSHA; RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kufungua jukwaa la kodi na uwekezaji mwaka huu, lililoandaliwa na Wizara ya Fedha kwa…
Mitambo 2 kuzalisha umeme kuwashwa JNHPP Machi

Mitambo 2 kuzalisha umeme kuwashwa JNHPP Machi

TANGA; Makamu wa Rais  Dk. Philip Mpango, amesema  mwezi Machi mwaka huu itawashwa mitambo miwili ya kuzalisha umeme katika Bwawa…
Back to top button