Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Dk Ashatu Kijaji asisitiza uwajibikaji TBS
September 18, 2023
Dk Ashatu Kijaji asisitiza uwajibikaji TBS
DAR ES SALAAM: Waziri wa viwanda na biashara Dk Ashatu Kijaji leo Septemba 18, 2023 ametembelea shirika la viwango Tanzania…
TIRA kusimamia madai na fidia kulipwa kwa wakati
September 18, 2023
TIRA kusimamia madai na fidia kulipwa kwa wakati
DAR ES SALAAM: Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imesema itaendelea na mkakati wake wa utoaji elimu kwa Umma…
Samia: Mazao ya korosho, ufuta na mbaazi yanalipa
September 18, 2023
Samia: Mazao ya korosho, ufuta na mbaazi yanalipa
LINDI,Mtama: Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wakulima wa Wilaya ya Mtama Mkoani Lindi kuzalisha kwa wingi mazao ya korosho, ufuta…
Kihenzile ataka kasi zaidi TRC
September 18, 2023
Kihenzile ataka kasi zaidi TRC
NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile na Wakuu wa Wizara hiyo leo Septemba 18,2023 wametembelea Shirika la Reli Tanzania (TRC).…
Mambo yanoga Bandari za Ziwa Tanganyika
September 17, 2023
Mambo yanoga Bandari za Ziwa Tanganyika
SHILINGI bilioni 108 zilizowekezwa na serikali katika uboreshaji wa bandari za ziwa Tanganyika, zimekuwa kichocheo kikubwa cha uchumi na biashara…
SHIUMA yawashangaa Machinga kuchezea fursa
September 17, 2023
SHIUMA yawashangaa Machinga kuchezea fursa
MLEZI wa Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) Salim Asas amewashangaa baadhi ya machinga wa mjini Iringa kwa namna…
Serikali mbioni kutangaza ajira mpya 47,000
September 15, 2023
Serikali mbioni kutangaza ajira mpya 47,000
GEITA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amesema serikali imepanga…
Wananchi wapongeza juhudi za Rais Samia kuwakwamua kiuchumi
September 15, 2023
Wananchi wapongeza juhudi za Rais Samia kuwakwamua kiuchumi
MBEYA:Wakazi wa eneo la Madibira mkoani Mbeya wakiwemo wenye ulemavu, wamempongeza Rais Dk Samia Suluhu Hassan, kwa kazi nzuri ya…
Ujenzi soko la Mabibo waanza, sh milion 600 zatengwa
September 15, 2023
Ujenzi soko la Mabibo waanza, sh milion 600 zatengwa
DAR ES SALAAM:Ujenzi wa Soko la Ndizi la Urafiki lililopo Halmashauri ya Ubungo mkoani Dar es Salaam umeanza rasmi, muda…